ILIPOISHIA:
“Aisee!
Mbona hii inaonekana kuwa ngoma nzito?”
“Ni
ngoma nzito kwelikweli, halafu kuna huyu kijana ameingizwa kwenye mtego bila
mwenyewe kujua chochote, mpaka namuonea huruma.”
SASA
ENDELEA…
“Kwa akili zako unafikiri huyu kijana atakuwa ameingia
kwenye mtego mwenyewe akiwa hajui chochote?”
“Hajui chochote, hata maelezo aliyokuwa anayatoa,
yanaonesha kabisa hakuna anachokijua.”
“Unafikiri inawezekana mtu akaingizwa kwenye kumi na
nane za Loris kama hana umuhimu? Hata kama mwenyewe hajui naamini lazima kuna
jambo ambalo limefanya aingizwe kwenye huu mtego.”
“Lakini hajaingizwa na Loris mwenyewe isipokuwa
binti yake.”
“Nani ambaye hajui kwamba Loris amekuwa akimtumia
mwanaye kwenye kazi zake, hasa pale anapoona mambo yameanza kuwa magumu kwake?”
“Yote yanawezekana lakini taarifa za ndani
zinaonesha kwamba huyu binti mwenyewe ameshachoka kumtumikia baba yake na ndiyo
maana unaona anaandamwa na matatizo makubwa!”
“Unataka kusema ndiyo maana anatishiwa kuuawa?”
“Inawezekana kabisa, nahisi kuna jambo kubwa
analolifahamu lakini hataki kueleza ukweli kwa sababu hata ukifuatilia maelezo
aliyokuwa anayatoa, anazungumza vitu nusunusu sana.”
“Mh! Kweli hii ngoma nzito! Kwa hiyo tunafanyaje?”
“Inabidi tuwasiliane kwanza na mkuu, si unajua
mtandao wa Loris unahusisha mpaka viongozi wetu?”
***
Raya alishika taulo nililokuwa nimejifunga na
kulivuta kisha akalitundika pale alipoweka khanga yake, tukabaki saresare maua!
Akanisogelea jirani kabisa kiasi cha kila mmoja kuanza kuzisikia pumzi za
mwenzake, tukawa tunatazamana machoni huku ‘Jamal’ wangu naye akianza kufura
kwa hasira.
“Quench my thirst dear Jamal! I’m in deep love with
you, take me and let me feel like a real woman!” (Nikate kiu yangu mpenzi wangu
Jamal! Nipo kwenye penzi lenye kina kirefu na wewe, nichukue na unifanye
nijihisi kuwa mwanamke niliyekamilika!) alisema Raya kwa sauti iliyokuwa
ikisikika kama ya mtoto mchanga.
Bado sikuwa najua nifanye nini kwa sababu sitaki
kusema uongo, ukiachilia mbali ukweli kwamba sikuwa na hisia za kimapenzi dhidi
yake, Raya alikuwa ni msichana mzuri sana ambaye mwanaume yeyote aliyekamilika,
asingeweza kumuacha, hasa katika mazingira kama yale tuliyokuwepo.
Akionesha kuwa na shauku kubwa, alinikumbatia kwa
nguvu na tukagusanisha ndimi zetu, nikahisi kama mwili wangu umepigwa na shoti
kali ya umeme.
Kwa kutumia mkono mmoja, alifungua bomba la maji,
yakawa yanatumwagikia mithili ya watu waliokumbatiana kwenye mvua kali, hali
iliyonizidishia msisimko mkali kwani japo maji yalikuwa ya baridi, joto la
mwili wake lilinifanya nijihisi kama nipo kwenye ulimwengu wa tofauti kabisa.
Alifunga bomba na kuchukua sabuni, ingawa tayari
nilishakuwa nimeoga, alianza upya kunipaka sabuni mwili mzima, nikazidi
kusisimka pale mikono yake laini ilipokuwa ikinipaka sabuni, alipomaliza
alitaka na mimi nifanye kama vile. Nikaanza kumpaka sabuni mwili mzima, kusema
ukweli hakuna siku ambayo nilisisimka kama siku hiyo.
Baada ya kumaliza, alifungua tena maji, tukaoga huku
mara kwa mara tukigusanisha ndimi zetu, tulipomaliza alichukua taulo na
kunifuta kwa mahaba mazito kisha akanifunga kiunoni, na yeye akachukua khanga
yake moja na kujifunga bila hata kujifuta.
Kwa kuwa mwili wake ulikuwa na maji, khanga ile ilishikana
na ngozi ya mwili wake na kulifanya umbo lake lionekane vizuri, hasa maeneo ya
kiunoni kwa nyuma ambayo yalikuwa si haba! Kwa makusudi kabisa, akatangulia
mbele na kuanza kutembea kwa maringo kuelekea chumbani kwake.
Nilijikuta nikiwa kama kondoo anayepelekwa machinjioni,
nikawa namfuata nyumanyuma huku macho yangu yakiwa hayabanduki kwenye mwili
wake, nikimeza mate kama fisi aliyeona mfupa. Sikuelewa kilichofuatia zaidi ya
kujishtukia tukiwa juu ya kitanda chake kikubwa.
Hata sikukumbuka taulo langu nililivua muda gani,
achilia mbali khanga yake, zaidi ya kujikuta wote wawili tukiwa kama
tulivyoletwa duniani, hakukuwa na mazungumzo tena, kilichosikika kilikuwa ni
miguno ya hapa na pale wakati joto la huba likizidi kupanda kwenye mtima wa
kila mmoja.
Dakika kadhaa baadaye, kila mmoja alikuwa tayari kwa
pambano la kirafiki lisilo na jezi wala refa, Raya akionesha kuukamia mchezo
kuliko kawaida. Kabla hata kipyenga cha kuashiria mpambano kuanza hakijalia,
tayari Raya alishamkamata ‘Jamal’ wangu na kumuelekeza kwenye lango la
kuingilia ngome kuu, nami nikawa mtiifu kwa kila alichokuwa anakifanya Raya.
Tofauti kabisa na nilichokuwa nimekitegemea, ‘Jamal’
wangu alikutana na ukuta mgumu wa ngome hiyo, ikabidi nimuongezee nguvu ya
kusonga mbele, nikamuona Raya akiuma meno na kufumba macho yake, zoezi
lililosindikizwa na miguno ambayo sikuelewa kama ilikuwa ya raha au maumivu.
Miguno ile iliniongezea hamasa, huruma zikaniishia
kabisa, nikaongeza nguvu na muda mfupi baadaye, tayari tulikuwa tukielea kwenye
ulimwengu mwingine tofauti kabisa, ambao kwa Raya ndiyo ilikuwa mara yake ya
kwanza kuufikia. Nikiri kwamba kwa mara ya kwanza, nilijikuta nikiijutia nafsi
yangu kwa kushindwa kumuelewa Raya mapema na kumpa nafasi ndani ya moyo wangu.
Haikuwa rahisi kwa msichana mrembo kama yeye, kwa
umri wake, elimu yake na uwezo wa familia yao, kuwa bado hajaguswa mpaka siku
hiyo. Kwangu niliiona ni zaidi ya bahati na nikaendelea kujilaumu kwa kuchelewa
kusoma alama za nyakati. Tuliendelea kusakata kabumbu kwa zaidi ya dakika
ishirini, Raya akijitutumua kadiri ya uwezo wake ili asionekane mgeni kabisa
kwenye sanaa hiyo ya kikubwa.
Mpaka kipyenga kinalia kuashiria kumalizika kwa
mpambano huo, dimba lote lilikuwa halitamaniki, ungeweza kufananisha na
machinjio ya Vingunguti au ya Pugu.
“Ahsante, ahsante sana Jamal, hatimaye ndoto zangu
za muda mrefu zimetimia, umenifanya nijione mwanamke niliyekamilika!” alisema
Raya kwa sauti iliyokuwa inasikika kama ya mtoto mchanga, machozi
yakiulowanisha uso wake. Akawa ananibusu sehemu mbalimbali za mwili wangu.
Kwa kuwa dimba lilishachafuka, ilibidi turudi tena
bafuni, tukarudia tena kuogeshana, safari hii kwa hisia kali kuliko mwanzo
kisha tukarudi kwenye chumba cha wageni ambacho kimsingi ndiyo nilichotakiwa
kulala. Raya akaniganda kama ruba na hatimaye, tukajikuta tukiingia tena
dimbani kwa ngwe ya lala salama. Kipyenga kilipolia kuashria kumalizika kwa
dakika tisini, tulipitiwa na usingizi wa pono.
Mimi ndiyo nilikuwa wa kwanza kuzinduka, alfajiri ya
siku ya pili ambapo kilichonizindua, ilikuwa ni mlio wa simu yangu iliyokuwa
inaita mfululizo. Kwa taabu niliichukua simu na kutazama namba ya mpigaji. Moyo
ukanilipuka baada ya kugundua kuwa alikuwa ni Shenaiza.
Nilimtazama Raya aliyekuwa bado amelala juu ya kifua
changu, nikajiuliza mara mbilimbili kama nipokee au la. Mpaka simu inakata,
sikuwa nimeamua nini cha kufanya, ikaanza tena kuita mfululizo ambapo
nililazimika kuipokea, sauti ya Samantha ikasikika upande wa pili, ikinipa
taarifa ambazo zilinishtua mno.
“Unasemaaa?” nilijikuta nikiuliza kwa sauti ya juu,
iliyomzindua Raya usingizini.
Je, nini kitafuatia? Usikose Jumatatu ijayo kwenye
Gazeti la Championi Jumatatu.
Nzuri sana
ReplyDeleteNimeipenda kwa kweli
ReplyDelete