Tuesday, January 30, 2018

KIVURUGE WA TANDALE- 3



ILIPOISHIA:
Mara alinirushia kitu hicho, nikashtuka baada ya kugundua kuwa lilikuwa ni lile kufuli lake jeupe, likiwa na harufu f’lan hivi ‘amaizing’ kuoneshakwamba lilikua limetoka mwilini muda huohuo, akacheka sana jinsi nilivyokuwa nalitazama kwa makini huku wakati mwingine nikilisogeza kabisa kwenye pua, akasogea na kujitupa kwenye sofa huku akiinua miguu yake na kuiweka kwenye miguu yangu.
SASA ENDELEA...
“Kivurugeee!”
“Sipendi hilo jina ujue.”
“Ndiyo nimeshakuita sasa, utanifanya nini?”
“Ntakuchapaaa!”
“Huwezi,” alisema Madam Bella huku akichekacheka na kunifanyia vituko ambavyo kiukweli nilishindwa kuvivumilia. Sijui nilipata wapi ujasiri, nikapitisha mikono yangu na kukishika vizuri kiuno chake, akashtuka na kutoa mguno huku pumzi zake zikianza kubadilika, akawa anapumua kwa nguvu kama ametoka kukimbia mbio za mita mia moja.
Nilizidi kukibana kiuno chake kinene wastani katika mtindo ambao nilijua lazima utamfanya shetani wake akurupuke kutoka mafichoni kwa spidi zote.
Hicho ndicho kilichotokea, Madam Bella alinivaa mwilini na kunikumbatia kwa nguvu huku akinimwagia mvua ya mabusu, na mimi nikawa namuonesha ushirikiano wa kutosha.
Kwa jinsi ilivyoonesha ni kama alikuwa amekaukiwa sana kwani muda mfupi baadaye, tayari alikuwa amesaula kila kitu, akahamia kwangu na kufanya hivyohivyo kwa papara zisizo mithirika, purukushani zake zikaishia kwa ‘Ashrafu’ wangu.
Alipomuona jinsi alivyokuwa amefura kwa hasira, kwanza ni kama alishtuka kama ambaye hakutegemea kukutana na hali hiyo, akanitazama usoni kwa macho yake yaliyokuwa kama amebanwa na usingizi mzito, nusu yakiwa yamefumbuliwa nanusu yamefumbwa.
Akafanya kitu ambacho sikukitegemea, nikabaki nimeganda kama nimepigwa na radi. Kitu ambacho pengine sikuwa nakijua awali, Madam Bella alikuwa na uwezo mkubwa wa kughani nyimbo na mashairi kwa sauti yenye msisimko wa ajabu, nikampa nafasi ya kuonesha uwezo wake ambapo alikamata kipaza sauti kwa mikono yake laini na kuanza kuimba.
Kuna wakati alikuwa akighani mashairi ya taratibu na kuna wakati alikuwa akitumia ule mtindo unaopendwa na vijana, wa muziki wa kufokafoka, basi mwili wangu ukawa ni kama umepigwa na shoti ya umeme.
Sikutaka kubaki nyuma, nilijibinua kimtindo huku nikimuachia uhuru wa kuendelea kuimba, nikavamia kwenye ngome kuu na kwa ufundi wa hali ya juu, nikawa ni kama napiga kinanda hivi kwa kutumia mkono mmoja! Alipiga ukelele uliozidi kunogesha ala ya muziki, maneno yakawa yanamtoka nusunusu, pumzi zikazidi kubadilika!
Ilifika mahali akawa ni kama amepandwa na maruhani, akaniinua kwa vurugu pale kwenye sofa na kunipandisha kwenye meza fupi iliyokuwa katikati ya masofa hayo ya kisasa, nikawa naitazama feni ilivyokuwa likizunguka kwa sababu nililala nikiangalia juu, huku mnara wa Ashrafu ukisoma 4G!
Haraka na yeye akapanda juu ya meza, kwa papara za hali ya juu alimvamia ‘Ashrafu’ kama mkwezi anayekwea mnazi kwenda kuangua madafu. Miongoni mwa sifa za ziada nilizokuwa nazo, ni utulivu mchezoni.
Basi nilitulia, nikamuacha afanye alichoona kinamfaa kwa muda huo, harakaharaka akaanza kukwea mnazi, tena akionesha kuwa na sifa kama za mkwezi mzoefu maana alikuwa akipiga hatua ndefundefu.
Hakuchukua raundi, akawa tayari amekwea mpaka kuyafikia madafu, akaangua moja na kulipasua kwa nguvu. Kishindo chake hakikuwa cha kawaida, ilibidi nifanye kitu cha ziada kuwahi kumdaka maana angeweza kuporomoka kutoka juu ya mnazi mpaka chini kwa utamu wa dafu.
Nilimpa sapoti, akanikamata kwa nguvu mithili ya watu wanaogombana, akapiga yowe ambalo nina uhakika lilisikika mpaka kwenye ofisi za jirani kisha mwili ukakamaa kama samaki aliyetolewa kwenye friji! Maskini, ujanja wote uliisha, ukali wote uliyeyuka!
Nikamsaidia kwa kumuinua juujuu na kumlaza kwenye sofa. Japokuwa alikuwa na mwili mkubwa kuliko mimi, mazoezi ya kunyanyua vitu vizito niliyokuwa nayafanya mara mojamoja yalinifanya nimmudu vizuri. Ungeweza kudhani amezirai maana viungo vyake vilipoteza kabisa mawasiliano, ikawa mkono ukiuweka hivi unaenda moja kwa moja.
Kwa upande wangu ndiyo kwanza safari ilikuwa imeanza, akiwa bado hajielewi nilimtengeneza vizuri pale kwenye sofa, mnara wa mawasiliano ukiwa bado unasoma 4G, nikaanza kujisevia mdogomdogo!
Kitu ambacho lazima nikikiri, ni kwamba licha ya umri wake kuwa mkubwa, pia licha ya kuwa na cheo kikubwa kwenye kampuni kubwa kama hiyo, Madam Bella kwenye uwanja wa huba alikuwa bado mbichi kabisa.
Nikiwa naendelea kuchekelea utamu wa sukari guru, nikishambulia kwa staili za mashuti ya mbali na chenga za mwili, Madam Bella alishtuka akiwa ni kama amezinduka kutoka usingizini, akanitazama kwa macho yake ambayo safari hii yalikuwa yamefumbuliwa kidogo sana, akawa ni kama anataka kuzungumza jambo lakini hajui aanzie wapi.
Niliendeleza mashambulizi, wakati mwingine nikawa napiga mashuti makali yaliyokuwa yanagonga mwamba na kurudi uwanjani, mpira ukawa unachezwa nusu uwanja maana hakuweza kabisa kunikabili, akawa anajifunga mwenyewe huku miguno ikzidi mpaka ikafika mahali nikawa nahisi tunaweza kukutwa katikati ya mtanange.
Uamuzi niliouchukua, ilikuwa ni kumaliza mchezo, nikapiga chenga mfululizo, nikaongeza kasi, nikawa naukokota mpira kwa kasi kama Chriastiano Ronaldo, nikamcheki golikipa, nilipoona ametoka, niliachia shuti kali lililotinga moja kwa moja kwenye nyavu, Madam Bella akapiga tena yowe kubwa kama lile la mwanzo, akanikaba kwa nguvu huku mwili wote ukitetemeka kisha akashusha pumzi ndefu na kutulia kama aliyepoteza fahamu.
Harakaharaka nilivaa maganda yangu, nikatazama huku na kule, mwenzangu ndiyo kwanza alikuwa akikoroma pale kwenye sofa, nikanyata mpaka mlangoni na kuufungua, nikachungulia nje kama kulikuwa na mtu kwenye korido maana sikupenda kuonekana nikitoka ofisini humo.
Nilipohakikisha kwamba hakuna mtu, nilitoka huku nikiendelea kufunga mkanda wa suruali vizuri na kujiweka sawa. Nikaufunga mlango kwa nje kisha nikainama na kuitumbukiza funguo kwa ndani kwa kupitia upenyo wa chini ya mlango.
Wakati nainuka tu kutoka pale chini, nilisikia nikiitwa jina langu, nikageuka nyuma, katika hali ambayo sikuitegemea, nikashtuka kugundua kwamba alikua ni Salma, mkononi akiwa na mafaili.
“Kumbe uko huku? Mbona simu yako inaita tu bila kupokelewa? Halafu mbona una matatizo sana wewe? Haya hapo unafanya nini?”
“Nimetoka Kariakoo, kuna kazi bosi alikuwa amenituma, sasa nakuja hapa namgongea naona kimya, ndiyo nikawa naujaribu mlango kama umefungwa.”
“Umetoka kariakoo? Umepitia wapi mbona sijakuona?”
“Nilitokea mlango wa nyuma, muda ule bosi aliponiita aliniagiza niende haraka kuna kazi nikaifanye,” nilidanganya, Salma akanitazama usoni kama anayetaka kujua kama ninachokisema ni kweli au nadanganya.
“Halafu mbona unatokwa na jasho kiasi hicho?”
“Sasa wewe unafikiri kupanda ngazi harakaharaka ni kazi ndogo? Isitoshe nimetoka kwenye jua! Halafu Salma, mbona unanifuatafuata sana? Unataka kunifukuzisha kazi si ndiyo?” nilijifanya kumjia juu.
“Mh! Basi samahani kama umenielewa vibaya Ashrafu, wala mimi sikukuuliza kwa ubaya, nilidhani nina haki ya kukuuliza hivyo, anyway bosi hayupo, ametoka,” alinijibu kwa upole huku akijiinamia na kunipita, akawa anaelekea kwenye ofisi za wahasibu zilizokuwa jirani na ofisi ya bosi kupeleka yale mafaili.
Harakaharaka niliondoka kuelekea sehemu yangu ya kazi lakini kabla sijafika, niliona ni vizuri niingie kwanza maliwatoni nikanawe maana ni kweli nilikuwa nimelowa mwili mzima kwa jasho.
Nilivua shati na kulitundika pembeni ndani ya vyoo vya kisasa vya mle ofisini, nikaanza kujimwagia maji kwa wingi. Mara nikasikia mlango unafunguliwa, nikashtuka na kuinuka haraka kutaka kutazama ni nani aliyekuwa akiingia, nikashtuka kumuona Salma, mtoto wa kike akiwa ameingia kwenye vyoo vya wanaume, nilipomtazama vizuri alikuwa akilia, machozi yakawa yameulowanisha uso wake.
Je, nini kitafuatia? Usikose next issue.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...