ILIPOISHIA:
Mara alinirushia kitu hicho, nikashtuka baada ya
kugundua kuwa lilikuwa ni lile kufuli lake jeupe, likiwa na harufu f’lan hivi
‘amaizing’ kuoneshakwamba lilikua limetoka mwilini muda huohuo, akacheka sana
jinsi nilivyokuwa nalitazama kwa makini huku wakati mwingine nikilisogeza
kabisa kwenye pua, akasogea na kujitupa kwenye sofa huku akiinua miguu yake na
kuiweka kwenye miguu yangu.
SASA ENDELEA...
“Kivurugeee!”
“Sipendi
hilo jina ujue.”
“Ndiyo
nimeshakuita sasa, utanifanya nini?”
“Ntakuchapaaa!”
“Huwezi,”
alisema Madam Bella huku akichekacheka na kunifanyia vituko ambavyo kiukweli
nilishindwa kuvivumilia. Sijui nilipata wapi ujasiri, nikapitisha mikono yangu
na kukishika vizuri kiuno chake, akashtuka na kutoa mguno huku pumzi zake
zikianza kubadilika, akawa anapumua kwa nguvu kama ametoka kukimbia mbio za
mita mia moja.
Nilizidi
kukibana kiuno chake kinene wastani katika mtindo ambao nilijua lazima
utamfanya shetani wake akurupuke kutoka mafichoni kwa spidi zote.
Hicho ndicho
kilichotokea, Madam Bella alinivaa mwilini na kunikumbatia kwa nguvu huku
akinimwagia mvua ya mabusu, na mimi nikawa namuonesha ushirikiano wa kutosha.
Kwa jinsi
ilivyoonesha ni kama alikuwa amekaukiwa sana kwani muda mfupi baadaye, tayari
alikuwa amesaula kila kitu, akahamia kwangu na kufanya hivyohivyo kwa papara
zisizo mithirika, purukushani zake zikaishia kwa ‘Ashrafu’ wangu.
Alipomuona
jinsi alivyokuwa amefura kwa hasira, kwanza ni kama alishtuka kama ambaye
hakutegemea kukutana na hali hiyo, akanitazama usoni kwa macho yake yaliyokuwa
kama amebanwa na usingizi mzito, nusu yakiwa yamefumbuliwa nanusu yamefumbwa.
Akafanya
kitu ambacho sikukitegemea, nikabaki nimeganda kama nimepigwa na radi. Kitu
ambacho pengine sikuwa nakijua awali, Madam Bella alikuwa na uwezo mkubwa wa
kughani nyimbo na mashairi kwa sauti yenye msisimko wa ajabu, nikampa nafasi ya
kuonesha uwezo wake ambapo alikamata kipaza sauti kwa mikono yake laini na
kuanza kuimba.
Kuna wakati
alikuwa akighani mashairi ya taratibu na kuna wakati alikuwa akitumia ule
mtindo unaopendwa na vijana, wa muziki wa kufokafoka, basi mwili wangu ukawa ni
kama umepigwa na shoti ya umeme.
Sikutaka
kubaki nyuma, nilijibinua kimtindo huku nikimuachia uhuru wa kuendelea kuimba,
nikavamia kwenye ngome kuu na kwa ufundi wa hali ya juu, nikawa ni kama napiga
kinanda hivi kwa kutumia mkono mmoja! Alipiga ukelele uliozidi kunogesha ala ya
muziki, maneno yakawa yanamtoka nusunusu, pumzi zikazidi kubadilika!
Ilifika
mahali akawa ni kama amepandwa na maruhani, akaniinua kwa vurugu pale kwenye
sofa na kunipandisha kwenye meza fupi iliyokuwa katikati ya masofa hayo ya
kisasa, nikawa naitazama feni ilivyokuwa likizunguka kwa sababu nililala
nikiangalia juu, huku mnara wa Ashrafu ukisoma 4G!
Haraka na
yeye akapanda juu ya meza, kwa papara za hali ya juu alimvamia ‘Ashrafu’ kama
mkwezi anayekwea mnazi kwenda kuangua madafu. Miongoni mwa sifa za ziada
nilizokuwa nazo, ni utulivu mchezoni.
Basi
nilitulia, nikamuacha afanye alichoona kinamfaa kwa muda huo, harakaharaka
akaanza kukwea mnazi, tena akionesha kuwa na sifa kama za mkwezi mzoefu maana
alikuwa akipiga hatua ndefundefu.
Hakuchukua
raundi, akawa tayari amekwea mpaka kuyafikia madafu, akaangua moja na kulipasua
kwa nguvu. Kishindo chake hakikuwa cha kawaida, ilibidi nifanye kitu cha ziada
kuwahi kumdaka maana angeweza kuporomoka kutoka juu ya mnazi mpaka chini kwa
utamu wa dafu.
Nilimpa
sapoti, akanikamata kwa nguvu mithili ya watu wanaogombana, akapiga yowe ambalo
nina uhakika lilisikika mpaka kwenye ofisi za jirani kisha mwili ukakamaa kama
samaki aliyetolewa kwenye friji! Maskini, ujanja wote uliisha, ukali wote
uliyeyuka!
Nikamsaidia
kwa kumuinua juujuu na kumlaza kwenye sofa. Japokuwa alikuwa na mwili mkubwa
kuliko mimi, mazoezi ya kunyanyua vitu vizito niliyokuwa nayafanya mara mojamoja
yalinifanya nimmudu vizuri. Ungeweza kudhani amezirai maana viungo vyake
vilipoteza kabisa mawasiliano, ikawa mkono ukiuweka hivi unaenda moja kwa moja.
Kwa upande
wangu ndiyo kwanza safari ilikuwa imeanza, akiwa bado hajielewi nilimtengeneza
vizuri pale kwenye sofa, mnara wa mawasiliano ukiwa bado unasoma 4G, nikaanza
kujisevia mdogomdogo!
Kitu ambacho
lazima nikikiri, ni kwamba licha ya umri wake kuwa mkubwa, pia licha ya kuwa na
cheo kikubwa kwenye kampuni kubwa kama hiyo, Madam Bella kwenye uwanja wa huba
alikuwa bado mbichi kabisa.
Nikiwa
naendelea kuchekelea utamu wa sukari guru, nikishambulia kwa staili za mashuti
ya mbali na chenga za mwili, Madam Bella alishtuka akiwa ni kama amezinduka
kutoka usingizini, akanitazama kwa macho yake ambayo safari hii yalikuwa
yamefumbuliwa kidogo sana, akawa ni kama anataka kuzungumza jambo lakini hajui
aanzie wapi.
Niliendeleza
mashambulizi, wakati mwingine nikawa napiga mashuti makali yaliyokuwa yanagonga
mwamba na kurudi uwanjani, mpira ukawa unachezwa nusu uwanja maana hakuweza
kabisa kunikabili, akawa anajifunga mwenyewe huku miguno ikzidi mpaka ikafika
mahali nikawa nahisi tunaweza kukutwa katikati ya mtanange.
Uamuzi
niliouchukua, ilikuwa ni kumaliza mchezo, nikapiga chenga mfululizo, nikaongeza
kasi, nikawa naukokota mpira kwa kasi kama Chriastiano Ronaldo, nikamcheki
golikipa, nilipoona ametoka, niliachia shuti kali lililotinga moja kwa moja
kwenye nyavu, Madam Bella akapiga tena yowe kubwa kama lile la mwanzo,
akanikaba kwa nguvu huku mwili wote ukitetemeka kisha akashusha pumzi ndefu na
kutulia kama aliyepoteza fahamu.
Harakaharaka
nilivaa maganda yangu, nikatazama huku na kule, mwenzangu ndiyo kwanza alikuwa
akikoroma pale kwenye sofa, nikanyata mpaka mlangoni na kuufungua,
nikachungulia nje kama kulikuwa na mtu kwenye korido maana sikupenda kuonekana
nikitoka ofisini humo.
Nilipohakikisha
kwamba hakuna mtu, nilitoka huku nikiendelea kufunga mkanda wa suruali vizuri
na kujiweka sawa. Nikaufunga mlango kwa nje kisha nikainama na kuitumbukiza
funguo kwa ndani kwa kupitia upenyo wa chini ya mlango.
Wakati
nainuka tu kutoka pale chini, nilisikia nikiitwa jina langu, nikageuka nyuma,
katika hali ambayo sikuitegemea, nikashtuka kugundua kwamba alikua ni Salma,
mkononi akiwa na mafaili.
“Kumbe uko
huku? Mbona simu yako inaita tu bila kupokelewa? Halafu mbona una matatizo sana
wewe? Haya hapo unafanya nini?”
“Nimetoka
Kariakoo, kuna kazi bosi alikuwa amenituma, sasa nakuja hapa namgongea naona
kimya, ndiyo nikawa naujaribu mlango kama umefungwa.”
“Umetoka kariakoo?
Umepitia wapi mbona sijakuona?”
“Nilitokea
mlango wa nyuma, muda ule bosi aliponiita aliniagiza niende haraka kuna kazi
nikaifanye,” nilidanganya, Salma akanitazama usoni kama anayetaka kujua kama
ninachokisema ni kweli au nadanganya.
“Halafu mbona
unatokwa na jasho kiasi hicho?”
“Sasa wewe
unafikiri kupanda ngazi harakaharaka ni kazi ndogo? Isitoshe nimetoka kwenye
jua! Halafu Salma, mbona unanifuatafuata sana? Unataka kunifukuzisha kazi si
ndiyo?” nilijifanya kumjia juu.
“Mh! Basi
samahani kama umenielewa vibaya Ashrafu, wala mimi sikukuuliza kwa ubaya,
nilidhani nina haki ya kukuuliza hivyo, anyway bosi hayupo, ametoka,” alinijibu
kwa upole huku akijiinamia na kunipita, akawa anaelekea kwenye ofisi za
wahasibu zilizokuwa jirani na ofisi ya bosi kupeleka yale mafaili.
Harakaharaka
niliondoka kuelekea sehemu yangu ya kazi lakini kabla sijafika, niliona ni
vizuri niingie kwanza maliwatoni nikanawe maana ni kweli nilikuwa nimelowa
mwili mzima kwa jasho.
Nilivua
shati na kulitundika pembeni ndani ya vyoo vya kisasa vya mle ofisini, nikaanza
kujimwagia maji kwa wingi. Mara nikasikia mlango unafunguliwa, nikashtuka na
kuinuka haraka kutaka kutazama ni nani aliyekuwa akiingia, nikashtuka kumuona
Salma, mtoto wa kike akiwa ameingia kwenye vyoo vya wanaume, nilipomtazama
vizuri alikuwa akilia, machozi yakawa yameulowanisha uso wake.
Je, nini
kitafuatia? Usikose next issue.
No comments:
Post a Comment