ILIPOISHIA:
“Tumeshafika
bro!” alisema yule dereva wa Ubber, kauli yake ndiyo iliyotuzindua kutoka
kwenye dimbwi la huba, kucheki pembeni, kweli tayari tulikuwa Tandale kwa
Mtogole.
SASA
ENDELEA...
Tuliteremka
kwenye Uber, kwa jinsi Nancy alivyokuwa mzuri, kitendo cha kuteremka tu pale
kituoni, niliwaona wahuni kibao wakiacha kila walichokuwa wakikifanya na kuanza
kutukodolea macho.
Waliokuwa
wakicheza kamari waliacha, waliokuwa wakicheza singeli waliacha na hata
waliokuwa wakipiga stori, wote walibaki wanatukodolea macho.
Shida
moja ya kwetu ndiyo hiyo, yaani vijana wana njaa kiasi kwamba kila kitu kizuri
kinachopita, wao wanaanza kuhesabu kama dili! Nilijua pale wanatupigia mahesabu
ya kuja kutukaba na kuchukua viwalo vya kijanja alivyokuwa amepiga Nancy, simu
yake, pochi pamoja na simu yangu.
Kwa
kuwa nimeshaishi sana Tandale na najua namna ya kwenda sawa na wahuni, niliamua
kuchukua tahadhari mapema kwa sababu kama tungekabwa na mrembo kama Nancy,
ningekuwa nimejishushia mno hadhi.
Nilichokifanya
nilimshika mkono Nancy, nikaongozana naye mpaka kwenye kibanda cha ‘Rasi
Kimbute’, rastafari aliyekuwa akisifika kwa uhuni Tandale nzima.
“Kuna
buku hapa, nipige escort mpaka magetoni naona wahuni wananitamani,” nilimwambia
Rais Kimbute kwa sauti ya chini, akacheka sana mpaka pengo lake likawa
linaonekana.
Basi
kwa kuwa alikuwa rafiki yangu sana, mara kwa mara nikimtoa vihela vidogovidogo
vya ‘fegi’, alikubali kunisindikiza, basi nikawa najitanua huku nikiwa
nimemshikilia vizuri Nancy, tukawa tunapiga stori za hapa na pale na Rasi,
Nancy akipata shida kubwa kuruka mifereji na mitaro ya maji machafu.
Niliukumbuka
wimbo wa Rayvan, msanii wa Bongo Fleva kutoka Wasafi uitwao Kwetu, jinsi
nilivyokuwa nakatiza na Nancy ‘kitaani’ ungeweza kufananisha na Rayvan na
mrembo Lynn walivyokuwa wakikatisha mitaani, sema tofauti ni kwamba mimi na
Nancy tulikuwa wakubwa.
Baada
ya kutufikisha karibu na nyumbani, nilimpa Rasi Kimbute shilingi elfu moja kama
nilivyomuahidi, akafurahi sana na kuniambia kama nitataka kuondoka, nikamshtue
tena aje kunipa ulinzi!
Hayo
ndiyo maisha ya kwetu, yaani ukionekana na mtu wa tofauti, anayeonekana kuwa
nazo basi ujue hufiki mbali, lazima mateja wawakabe na kuwavua mpaka viatu.
Tulipitia dukani kwa Mangi, nikachukua ‘busta’ na maji makubwa, tukaingia ndani
ambapo ilibidi mpaka nifunge geti kubwa la nje kwa kufuli ndiyo Nancy atulie.
Mazingira
ya kwetu yalionesha kumkosesha mno amani, ikawa ni zamu yangu kumtania kwamba
yeye ni sistaduu maisha ya uswahilini hayawezi. Nilimtania mpaka akawa
anacheka, ile hofu ikamuisha kabisa.
Japokuwa
nilikuwa naishi Tandale, nyumba niliyokuwa maishi ilikuwa nzuri, yenye hadhi
nzuri na usalama wa kutosha, sijisifii lakini huo ndiyo ukweli. Hata ndani nako
sikuwa ‘mnyonge’, nilikuwa na kitanda cha kisasa, futi sita kwa sita, ukutani
runinga ya kisasa (flat screen) na muziki mnene, sofa la kuzugia, kafriji kakiaina
na kapeti manyoya.
“Mh!
Kumbe kwako kuzuri hivi? Unavyoonekana kwa nje na ndani ni tofauti sana, kumbe
una akili,” alisema Nancy, nikajifanya kama sijamsikia. Nilifungua ‘busta’
yangu na kuchanganya na maji kidogo kwenye glasi, nikaigida yote, Nancy akawa
anachekacheka tu mwenyewe, mara ashike hiki aache, mara ashike kile, mara
abadilishe ‘chaneli’ kwenye runinga, ilimradi tafrani.
Kwa
jinsi nilivyokuwa nimechoka, ilibidi nikaoge kwanza, nikamuacha Nancy akiwa
amekaa kwenye kochi, akisikiliza muziki. Tayari alishakuwa mwenyeji ndani ya
dakika chache tu alizokaa pale ndani, nikazidi kujiona mshindi.
Dakika
tatu baadaye, tayari nilikuwa nimeshajimwagia maji, kurudi ndani nikamkuta
Nancy ameshasaula kila kitu alichokuwa amekivaa na kujifunga mtandio mwepesi
eti kwa madai kwamba na yeye anataka kwenda kuoga. Nilijikuta nimeshtuka kama
nimepigwa na shoti ya umeme! Hata sijui ni nini kilichonishtua lakini nadhani
ni kwa sababu ya jinsi Nancy alivyokuwa ameumbika!
Kiukweli,
Nancy alikuwa moto wa kuotea mbali. Nilisikia vinyweleo vyote vya mwili
vikipigwa na kaubaridi fulani, nikameza mate kama fisi aliyeona mfupa, Nancy
akawa ananitazama kwa macho kama ya mtu aliyebanwa na usingizi mzito.
Nilishindwa
kuvumilia, nilimsogelea na kumvutia kwangu, akaja mzimamzima na kunikumbatia,
bila kujali maji yaliyokuwa yakichuruzika mwilini mwangu kwani nilikuwa bado
sijajifuta, tukagusanisha ndimi zetu, kwa ufundi mkubwa nikapitisha mikono
yangu na kukikamata vizuri kiuno cha Nancy, nikamuona akiruka kama anayetaka
kupaa.
Niliendelea
kumshika vile huku vidole vyangu vikitembea taratibu kushuka chini, mapigo ya
moyo wake yakaanza kubadilika, akawa anapumua harakaharaka kama aliyetoka
kukimbia mbio za mita mia moja.
Haikuchukua
muda, ule mtandio tayari ulikuwa chini na mimi taulo hata sikukumbuka
limetokaje mwilini mwangu, tukawa tumesimama tukiwa ‘saresare maua’.
Niliendelea
kushuka chini taratibu, nikawa navinjari kwenye mwinuko maridhawa uliokuwa
chini kidogo ya kiuno chake ambao ama kwa hakika ulikuwa umejaa na kubinuka
kisawasawa, akawa anapiga ukelele kwa staili ya kudekadeka, ulioleta raha ya
ajabu masikioni mwangu.
Naye
hakubaki nyumba, alisogeza mdomo wake sikioni mwangu, akawa ni kama anataka
kuninong’oneza kitu na mimi nikatega sikio kutaka kusikia atasema nini, katika
hali ambayo sikuitegemea, nikashtukia akiuingiza ulimi wake sikioni, na mimi
nikaruka kama nimekanyaga kaa la moto! Si kwamba nilipanga kuruka, nilijikuta
tu nimeruka, akacheka kwa kudeka na kuzidi kunipa mzuka!
Japokuwa
nilikuwa najiamini kwamba naweza kuwaamsha mashetani wa mahaba wa Nancy haraka,
ajabu ni kwamba yeye ndiye aliyefanikiwa kuwaamsha wa kwangu mapema zaidi.
Japokuwa
nilikuwa nimeshapiga gemu mbili tofautitofauti muda mfupi uliopita, na Madam
Bella na Salma kule kazini, mbwembwe za Nancy ziliufanya mnara wa mawasiliano
uwe unasoma 4G mapema kabisa utafikiri sijagusa chochote kwa zaidi ya wiki
nzima.
Niliamua
kutumia falsafa yangu ileile, ya kutokuwa na papara kabisa mchezoni. Unajua
wanaume wengi wanajikuta wakiadhirika kutokana na papara, yaani wakishaoneshwa
dimba la kati tu basi mtu anakimbilia kupiga mashuti, bila kwanza kumsoma
golikipa amekaa upande gani, na kupima uwezo wake kama anaweza kudaka mipira ya
juu au ya chini.
Nadhani
hicho ndicho Nancy alichokitegemea kutoka kwangu, kwamba baada tu ya mnara
kusoma 4G na yeye kuliachia dimba la kati wazi, basi nitavamia uwanjani na
kuanza kubutua mpira! Thubutuu, mimi siyo wa hivyo.
Niliendelea
kumpasha misuli moto taratibu huku mnara ukiwa unasoma 4g vilevile, nikawa
namgusa maeneo ambayo nadhani hakuwa anategemea, akawa anarukaruka mara kwa
mara huku akitoa miguno ya hapa na pale iliyozidisha kimuhemuhe cha mahaba,
chungu kikawa kinachemka kwa kasi.
Ilifika
mahali akawa anataka ashike mwenyewe mwiko na kuupeleka kwenye chungu ili aanze
kusonga ugali lakini nikawa namkwepa kijanja, nilifanya hivyo kwa makusudi kwa
sababu nilitaka maji yachemke kabisa ili chakula atakachokula kamwe asije
kukisahau maishani mwake.
Ni
mpaka nilipohakikisha maji yamechemka mpaka nyuzijoto 100 ndipo nilipoanza
kuupeleka mwiko taratibu kwenye chungu chake, tayari kwa kazi ya mapishi.
Niliupeleka
taratibu kwa makusudi ili kutazama uimara wa chungu chenyewe, lakini akaona
kama namchelewesha, aliushika mwenyewe na kuusokomeza kwenye chungu kwa nguvu,
akapiga ukelele mwingine kwa raha na bila kupoteza muda, alianza kazi ya
kusonga ugali.
Tofauti
kabisa na alivyokuwa akionekana kwa nje, Nancy alikuwa mwepesi mno uwanjani,
aliifanya kazi ile kwa kasi ambayo vijana huwa wanapenda kuiita ‘spidi 120’,
yaani kama nisingekuwa ngangari, huenda angenizidi mahesabu kutokana na kasi
yake lakini alikutana na mwamba!
Alikukuruka
mpaka mwisho, akaimba nyimbo zote, akaonesha mbwembwe zote lakini bado nilikuwa
naye sambamba, pumzi zilipoanza kumuishia, ndipo na mimi nilipoanza kumuonesha
makali yangu, nikawa nashambulia kwa mfumo wa four-four-two, ikawa mpira
unachezwa kwenye goli lake tu, ilifika mahali akawa anapiga kelele kwa sauti ya
juu mpaka nikawa nahisi baba mwenye nyumba anaweza kushtukia kwamba kuna mechi
ya kirafiki inapigwa pale ndani.
Nilimpeleka
puta kuliko kawaida, hakuchukua raundi, akatangaza kutaka kuzifumania nyavu na
ili twende naye sawa, na mimi nilijiweka katika mkao wa kufunga!
Yeye
ndiye aliyekuwa wa kwanza, akanifunga bao kwa shuti la mbali na kupiga shangwe
za nguvu kushangilia ushindi huku mwili wake ukianza kukakamaa na kutetemeka,
na mimi nikahitimisha kwa kumfunga kwa uhodari wa hali ya juu uliofanya
alitamke jina langu kwa ufasaha kabisa kisha akadondoka pembeni kama mzigo.
Huwezi
kuamini, katika gemu tatu nilizopiga siku hiyo, hiyo ya Nancy ilikuwa ni ya
kimataifa kwa sababu tulipoenda mapumziko, wote tulipitiwa na usingizi mzito,
kuja kushtuka, tayari ilikuwa ni saa saba za usiku.
“Mungu
wangu, nitasema nini nyumbani,” alisema huku akikurupuka na kuanza kutafuta
nguo zake, nikaona analeta masihara, ataondokaje muda huo wakati hata kipindi
cha pili kilikuwa bado?
Je,
nini kitafuatia? Usikose next issue.
No comments:
Post a Comment