ILIPOISHIA
“Unanikaribishaje hivyo?” alisema huku akitanua
mikono yake kama anayesema ‘njoo unikumbatie’. Basi na mimi nilifanya kama
alivyotaka, nikaenda na kumkumbatia kwa nguvu, muda mfupi baadaye midomo yetu
ilikuwa imegusana, hata sijui nini kilitokea, nilishtukia tu tayari tukiwa
kwenye uwanja wa fundi seremala, mara mlango ukagongwa kwa nguvu.
“Ngo! Ngo! Ngooo!”
SASA ENDELEA...
“Nani tena
huyo jamanii,” alisema Madam Bella huku akionesha kukasirishwa sana na kitendo
cha mtu huyo kugonga. Niliamka, nikajifunga taulo na kusogea mlangoni,
nikafungua kidogo na kuchungulia nje.
“Hivi
unajua kwamba ni zamu yako kununua umeme?”
“Ooh!
Kumbe zamu yangu imeshafika? Ok, naomba basi nikupe pesa umuagize hata mtoto
akanunue.”
“Mtoto
gani? Hakuna mtu hapa nyumbani, kama unavyojua wakienda shuleni nabaki peke
yangu, hebui nenda kanunue kwa sababu utakatika sasa hivi, tafadhali tusije
tukagombana bure,” mama mwenye nyumba alisema huku akiwa ameshika kiuno.
Haikuwa
kawaida yake kuzungumza na mimi kwa namna hii, siku zote tulikuwa
tukihheshimiana na kama kuna jambo lolote, alikuwa akiniambia kwa ustaarabu
lakini siku hiyo alikuwa amebadilika.
Nilibamiza
mlango na kurudi ndani, huku nikiwa nimepanda na jazba. Kwa alichokisema, maana
yake alikuwa anataka niache kila nilichokuwa nakifanya eti nikanunue umeme,
ambao kwanza hata haukuwa umekatika.
Kama hiyo
haitoshi, asubuhi hiyo wakati naondoka aliniona sana lakini hakuniambia
chochote kwa hiyo kama nisingerudi ingekuwaje? Niliona kama ameamua kunifanyia
visa kwa makusudi ili kuniharibia mambo yangu.
“Vipi tena
baba’angu,” alisema Madam Bella huku akinishika mkono kwa upole na kunirudisha
uwanjani, nikamweleza kilichotokea.
“Usijali,
kwani shilingi ngapi?”
“Siyo
kwamba hela sina, ninayo lakini asnataka eti nikanunue sasa hivi.”
“Mimi
sijakuuliza kama hela unayo au huna jamani mume wangu, mbona unakuwa hivyo,”
alisema Madam Bella kwa sauti fulani hivi tamu sana iliyokuwa inatokea kwenye
matundu ya pua zake.
Nilipomjibu
kwamba ni shilingi elfu tano, aliniambia nisijali, anazo pesa kwenye simu yake
kwa hiyo tuendelee na yetu tukimaliza nitampa namba ya luku halafu atanunua.
Maelezo yake kidogo yalinifariji na kunirudisha mchezoni.
Haukupita
muda mrefu, kipyenga kilipulizwa kuashiria kuanza kwa mpambano wa kukata na
shoka, Madam Bella akionesha kukamia sana kuibuka na ushindi wa mapema. Kama
kawaida yangu, mpira ulipoanza nilimuacha kwanza atawale mchezo katika dakika
za mwanzo.
Kama
ilivyokuwa jana yake, Madam Bella alikuwa na pupa sana mchezoni, hata sijui
alikuwa na matatizo gani. Alikuwa akicheza kwa kubutuabutua mpira, ilivyoonesha
alichokuwa anakitaka ilikuwa ni ushindi wa mapema tu, moyoni nikawa najisemea
kwamba hanijui vizuri.
Akiwa
ameshaanza kujichokea kutokana na papara zake, nilianza kumuonesha maujuzi kama
yale ya mesi, nikawa nakokota mpira kwenye ‘chaki’, nilianza kwa kasi ndogo
lakini nikawa naongeza kasi kadiri muda unavyosonga mbele, akawa anapiga
ukelele uliozidi kunipa hamasa ya kuendelea kuonesha uwezo.
Nilimpiga
chenga dabodabo, nikampiga kanzu na kupiga danadana nyingi na baadaye nilianza
kufumua mashuti ya nguvu, haikuchukua muda, akapiga kelele kwa nguvu na
kunikaba kama wacheza mieleka, akadondoka pembeni huku akiwa anatetemeka kama
amepigwa na shoti ya umeme! Nilikuwa nimemuweza kisawasawa.
“Ngo! Ngo!
Ngo,” mlango uligongwa tena, safari hii kwa nguvu zaidi. Nikainuka pale
nilipokuwa nakuchukua tena taulo langu lakini ilibidi nijifute kwanza maana
kijasho chembamba kilikuwa kikinitoka, nikafungua mlango na kuchungulia.
“Ina maana
nilichokwambia umeona hakina maana au? Kwa nini unakuwa na dharau kiasi hicho
Ashrafu? Kwa nini unanidharau kiasi hiki? Au kwa kuwa mimi ni mwanamke,”
alisema mama mwenye nyumba kwa sauti ya kutia huruma sana huku macho yake
yakibadilika rangi na kuwa mekundu.
Sikuelewa
kwa nini amekuwa na hali hiyo, nikashindwa hata nimjibu nini.
“Mimi
sitaki kugombana na wewe, naomba ufanye nilichokwambia,” alisema huku akigeuka,
akawa anatembea lakini mwendo wake haukuwa ule niliozoea kumuona, ulibadilika
na hata nguo aliyokuwa ameivaa, kidogo ilinifanya nitatizike lakini nikahisi
kwamba huenda ni kwa sababu alikuwa akifua.
Nilibaki
nimeganda namtazama, akapiga hatua kadhaa na kugeuka, macho yangu na yake
yakagongana, harakaharaka nikabamiza mlango maana nilijisikia aibu sana hasa
ukizingatia jinsi nilivyokuwa namheshimu.
“Kwa nini
ametembea vile huku akiwa amevaa khanga moja tu, halafu kwa nini alipofika
mlangoni kwake akageuka? Ina maana alijua lazima nitamtazama? Lakini huyu mama
mwenye nyumba mbona ananitafutia matatizo?” akili zangu zilikuwa zimehama,
nikijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu pale kitandani.
Madam
Bella alikuwa akikoroma, hajiwezi kwa chochote. Kwa sababu mama mwenye nyumba
alinisisitiza sana, na Madam Bella alikuwa amelala, niliona ni bora nitoke nje
nikanunua umeme mara moja ili nisizidi kumkwaza mama mwenye nyumba.
Nilivaa
pensi na singendi, nikachukua shilingi elfu tano kwenye akiba yangu na kutoka
nje. Ilibidi nikamgongee mama mwenye nyumba kwa sababu sikuwa na namba ya luku.
“Pita
ndani,” alisema, akionekana ni kama kuna kazi alikuwa akiifanya.
Sikuwa na
mazoea ya kuingia ndani kwa mwenye nyumba wangu na nakumbuka mara ya mwisho
niliingia nilipoenda kulipa kodi ya nyumba tu, kwa hiyo kitendo cha yeye
kuniambia niingie kilikua ni zaidi ya mtihani kwangu.
“Ashrafu,
ingia tu usiogope,” alisema, nikapiga moyo konde na kuingia. Alikuwa amekaa
sebuleni, kwenye kochi la kulala akionesha kuwa na uchovu sana.
“Samahani
mama, nilikuwa naomba namba ya luku nikanunue umeme,” nilisema kwa adabu huku
nikikwepa sana macho yangu na yake yasigusane maana hata pale kwenye kochi
penyewe, alikuwa amelala kihasara sana.
“Ingia
hapo kwenye chumba cha watoto, angalia juu ya meza utaona karatasi
tulilonunulia umeme mara ya mwisho,” alisema huku akinitazama kwa macho
yaliyokuwa yamebeba ujumbe ambao ulikuwa mgumu sana kwangu kuuelewa.
Nilifuata
maelekezo yake, nikaingia kwenye chumba cha watoto wake! Kimaisha mama mwenye
nyumba na mumewe walikuwa wamejipanga sana kwa sababu hata hicho chumba cha
watoto chenyewe kilikuwa si cha masihara, kulikuwa na kitanda kikubwa cha futi
sita kwa sita na kabati la nguo pamoja na meza ya kujisomea.
Hiyo
ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia kwenye chumba hicho, nikawa napepesa macho
huku na kule nikishangaa mandhari badala ya kuangalia kilichonipeleka.
“Vipi
umeona,” nilishtuka baada ya kusikia sauti ya mama mwenye nyumba, nyumba yangu.
Kumbe alikuwa ameamua kunifuata kule chumbani, nilipogeuka, macho yangu na yake
yaligongana, safari hii sikuwa na uwezo wa kumkwepa tena, tukawa tunatazama.
Licha ya
umri wake kuwa mkubwa, mama mwenye nyumba alikuwa akipenda sana mambo ya ujana
maana nyusi zake alikuwa amezitinda na kupaka wanja na kwa mbali alikuwa
amepaka lipstiki fulani hivi kama zile wanazopenda wadada wengi wa mjini.
Muda mfupi
nilipozungumza naye alipokuja kunigongea kwa mara ya kwanza, wala hakuwa
amejipamba hivyo usoni, nikajikuta nimevutiwa kuendelea kumtazama.
“Kwani
ulikuwa unamfanya nini yule mgeni wako? Mbona alikuwa anapiga sana kelele?” aliniuliza swali lililonifanya nijisikie sana aibu,
nikiwa najiuliza nimjibu nini, nilishtukia akipeleka mkono wake ‘ikulu’,
akamshika Ashrafu wangu na kushtuka kidogo, hata sijui nini kilimshtua.
Katika
hali ambayo sikuitegemea, nilishtuka akipeleka kwenye kifundo cha ile khanga
nyepesi aliyokuwa amejifunga, sijui alifanya nini bwana, ikadondoka chini
nzimanzima, macho yangu yakatua kwenye kiota cha huba cha mama mwenye nyumba,
japokuwa nilikuwa nimetoka kukimbia mbio ndefu, kitendo kile kilinifanya niwe
kama mwendawazimu.
“Njoo
hu...ku na...mi...mi alisema kwa sauti ya kukatakata, akanivuta kwa nguvu,
tukadondokea kwenye kile kitanda cha watoto wake.
Je, nini
kitafuatia? Usikose Jumatano kwenye Risasi Mchanganyiko.
wekeni bas mwendelezo jamani tafathari hizi simulizi nilikuwa nazifatilia sana kwenye magazeti, lakini walipopandisha bei na kuyauza shilingi 800 badala ya 500 basi ukawa mwisho wa kufatilia simulizi hizi tamu!!
ReplyDeleteDo you want to increase your website's domain authority (DA) score without using any black hat SEO technique then please read this link - https://how-to-increase-da-of-website-online.blogspot.com/
ReplyDelete