Monday, January 9, 2012

ZEE LA NYETI LAVUTA JIKO

Msanii Barnaba akitumbuiza kwenye harusi ya Mdimu
Mwandishi wa Habari za Burudani na Michezo wa Gazeti la Mwananchi ambaye pia ni Mtangazaji wa Times FM, Henry Mdimu 'Zee la Nyeti' hivi karibuni alivuta jiko kwa kumuoa mwanadada Angel Peter kwa ndoa takatifu ya Kikristo. 
(Picha kwa hisani ya mitandao)
Mdimu akimlisha keki mkewe

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...