HASH POWER 7113//Hakingowi Blog
Mtendaji
mkuu wa magazeti ya Mwanahalisi, Saed Kubenea akiwa katika Hospitali Apollo iliyopo New Delhi nchi India
anakotibiwa ugonjwa wa macho. Kubenea yupo hospitalini tangu Jumanne
iliyopita na tayari amefanyiwa upasuaji wa macho yake yote mawili jana.
Amekuwa akitibiwa kwenye hospitali hiyo tangu mwaka 2008 baada ya
kumwagiwa tindikali ofisini kwake, Kinondoni Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment