![]() |
Irene Uwoya akiwa na mwanaye, Krish |
Si suala geni tena masikioni mwa wengi kusikia fulani kaachana na mumewe au mkewe kwa sababu hizi au zile! Viapo vitakatifu vilivyowekwa baina ya wawili wapendanao kwenye madhabahu au msikitini, vinavunjwa na kila mmoja anachukua hamsini zake.
Vipi kuhusu athari zake? anayeathirika zaidi ni nani? Baba, mama au watoto? Kila mmoja bila shaka atakuwa na jibu lake. Tafakari, chukua hatua!
kwa mtazamo wangu, hakuna wa kusalimika! iwe baba, mama au watoto. ila it is more painful kwa aliyeacha bcoz kutakuwa na kitu ambacho bado anakihitaji kwa aliyemuacha; watoto kukosa malezi ya baba na mama hata kuhisi pengine wasingezaliwa kwa maumivu wanayopata.pengine hata jamii ndiyo inaathirika zaidi, pale watoto wanapokosa muongozo na kuishia kuwa vibaka na machangudoa mtaani kwasababu ya hilo tu..
ReplyDeleteJoin Mantram Nursing Academy’s PPMET coaching classes in Jalandhar for structured and result-oriented preparation. Our expert faculty covers the entire syllabus with in-depth explanations, doubt-solving sessions, and test series. With our student-centric approach, you can confidently attempt the exam and achieve your nursing career aspirations.
ReplyDeletePPMET Coaching Classes in Jalandhar