Nguli wa mpira wa miguu katika timu ya Real Madrid, Christiano Ronaldo alilia kwa machozi yasiyo kifani baada ya kuona matendo ya kinyama yanayofanywa na Israel hasa pale wanapouawa akina mama na watoto wasio na hatia.
Katika mechi za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia, Ronaldo alikutana na kocha wa Telaviv ya Israel na kumuonyeshea chuki ya dhahiri juu ya yale yanayoendelea Palestina.
Pia Ronaldo alikataa kubadilishana jezi na miongoni mwa wachezi wa timu hiyo. Uchungu huo umemfanya Ronaldo auze kiatu chake cha dhahabu alichotunukiwa kama mchezaji bora wa dunia mwaka jana kwa thamani ya Pauni Milioni 1 ambayo ni sawa na bilioni 2, milioni 840, laki 2 na elfu 4971 (2,840,204,971) ili kuwasaidia Gaza...
Baada ya kuona mchango wa Ronaldo wachezaji kama Eden Hazard, Erick Cantona na Fredrick Kanoute nao pia waliambatana nae..

C.Ronaldo pia akasisitiza kwa kusema, "Sio lazima uwe Muislam kuitetea Palestina na akaongeza kwa kusema: WALAANIWE WAISRAEL NA WAANGAMIE!
No comments:
Post a Comment