Njemba hili limekatwa ngozi sahemu za siri baada ya kukutwa akila uloda na mke wa mtu...... habari kamili zitakuja soon, Kweli mke wa mtu ni sumu
Saturday, July 26, 2014
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 LANUKIA
Watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya kusambaza injili kupitia karama ya uimbaji wa nyimbo za injili, Upendo Nkone
, Ambwene Mwasongwe, Angela, Paul Clement, Martha Mwaipaja na wengine wengi wanatarajiwa kushusha upako wa nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa, Agosti 8, 2014 katika Tamasha la Matumaini.
Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha
hilo la kila mwaka, Luqman Maloto wasanii hao watafanya shoo ya kumtukuza Mungu
katika uwanja huo kama ilivyokuwa katika Tamasha la Matumaini 2013 ambapo
mashabiki waliohudhuria waliburudika vya kutosha.
Friday, July 18, 2014
BIG RESULTS NOW! A JOKE
Unajua maana ya BIG RESULTS NOW?? Fuatilia matokeo haya ya kidato cha sita.
Division zero mwaka jana 2604, mwaka huu 612. Tofauti watu 1992, sawa na asilimia 325%.
Division one, mwaka jana 325, mwaka huu 4,365. Tofauti 4040, sawa na asilimia 1243%. Haya ni maajabu ya karne.
Walitanua ukubwa wa goli ili iwe rahisi kufunga... Kutoka zero zaidi ya 2000 mwaka jana hadi zero 600 tu mwaka huu. Kutoka div.one 300 tu mwaka jana hadi one zaidi ya 4,000 mwaka huu.
C.RONALDO AUZA KIATU CHAKE CHA DHAHABU
Nguli wa mpira wa miguu katika timu ya Real Madrid, Christiano Ronaldo alilia kwa machozi yasiyo kifani baada ya kuona matendo ya kinyama yanayofanywa na Israel hasa pale wanapouawa akina mama na watoto wasio na hatia.
Katika mechi za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia, Ronaldo alikutana na kocha wa Telaviv ya Israel na kumuonyeshea chuki ya dhahiri juu ya yale yanayoendelea Palestina.
Katika mechi za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia, Ronaldo alikutana na kocha wa Telaviv ya Israel na kumuonyeshea chuki ya dhahiri juu ya yale yanayoendelea Palestina.
Thursday, July 17, 2014
Wednesday, July 16, 2014
Tuesday, July 15, 2014
BAGAMOYO; JIMBO TAJIRI LENYE WANANCHI MASKINI
Makala: Hashim Aziz
Kilometa 75, Kaskazini mwa Jiji la Dar es Salaam, ndipo unapopatikana mji mkongwe na wa kihistoria wa Bagamoyo ambao ni miongoni mwa miji yenye vivutio vya kipekee duniani, ulioanzishwa karne ya 18, ukiwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi.
Kilometa 75, Kaskazini mwa Jiji la Dar es Salaam, ndipo unapopatikana mji mkongwe na wa kihistoria wa Bagamoyo ambao ni miongoni mwa miji yenye vivutio vya kipekee duniani, ulioanzishwa karne ya 18, ukiwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi.
Historia inaonesha kuwa Bagamoyo
iliyopo mkoa wa Pwani ndiyo kilikuwa kituo kikuu cha biashara ya watumwa na
bandari ya kwanza katika mwambao wa Afrika Mashariki, achilia mbali magofu ya kale, makaburi ya karne nyingi
zilizopita, msikiti wa kwanza na kanisa la kwanza Afrika Mashariki pamoja na
njia za watumwa (caravans).
ISRAEL'S SECURITY CABINET ACCEPTS EGYPTIAN CEASE FIRE PROPOSAL
Credit: New York Times
Israel has accepted Egypt's proposal for a cessation of hostilities with the Gaza Strip, Prime Minister Benjamin Netanyahu's office announced on Tuesday morning.
The proposal envisioned a cease-fire beginning at 9 a.m. local time on Tuesday. It called for border crossings to Gaza to "be opened," with the movement of people and goods to be "facilitated once the security situation becomes stable on the ground."
Israel has accepted Egypt's proposal for a cessation of hostilities with the Gaza Strip, Prime Minister Benjamin Netanyahu's office announced on Tuesday morning.
Benjamin Netanyahu |
The proposal envisioned a cease-fire beginning at 9 a.m. local time on Tuesday. It called for border crossings to Gaza to "be opened," with the movement of people and goods to be "facilitated once the security situation becomes stable on the ground."
Saturday, July 12, 2014
C RAY NAGIN, FORMER NEW ORLEANS MAYOR SENTENCED 10 YEARS
C. Ray Nagin, the former mayor of New Orleans who was convicted in February on corruption charges, was sentenced to 10 years in prison on Wednesday in federal court in New Orleans.
Mr. Nagin was found guilty in February on 20 counts, most relating to kickbacks from contractors looking for city work.
Mr. Nagin was found guilty in February on 20 counts, most relating to kickbacks from contractors looking for city work.
GAME OF THRONES, TRUE DETECTIVE AMONG EMMY NOMINATIONs
Nominations for the 66th annual Primetime Emmy Awards were announced Thursday morning, with perennial favorites like AMC's "Mad Men" and HBO's "Game of Thrones" joining newcomers like that network's "True Detective" among the dramas selected as television's best.
"Breaking Bad" on AMC, which won the Emmy for best drama last year, was recognized for its acclaimed final season. Several of the show's stars, including Bryan Cranston, the show's star, were named in the lead actor category.
"Breaking Bad" on AMC, which won the Emmy for best drama last year, was recognized for its acclaimed final season. Several of the show's stars, including Bryan Cranston, the show's star, were named in the lead actor category.
LeBron James to Return to Cleveland Cavaliers, Leaving Miami Heat
At age 29 and with two N.B.A. titles now in his possession, James decided Friday to rejoin the Cavaliers, for whom he played in the first seven seasons of his storied professional career.
Vilified in Cleveland when he decided to leave for the Heat, James is likely to find that all is forgiven, and more, as he embarks on an effort to bring a championship to a city that has not celebrated one in any major sport in 50 years.
U.S. NAVY MAINTAINS GROUNDING ORDER FOR F-35 FIGHTER JETS (Reuters)
Credit: Reuters
RAF FAIRFORD England (Reuters) -
The U.S. Navy on Friday maintained a grounding order for F-35 B-model
and C-model fighter jets built by Lockheed Martin Corp, saying it was
still not clear what caused a massive engine failure on an Air Force
F-35 jet on June 23.
"At this time, I do not have sufficient information to return the F-35B and F-35C fleet to flight," Vice Admiral David Dunaway, who heads the Navy's Air Systems Command, said in an update to a fleetwide grounding order issued by U.S. officials on July 3. A copy of the document was obtained by Reuters.
Wednesday, July 9, 2014
CRUEL WORLD (Dunia Katili)- 1
Mwandishi: Hashim Aziz
“Sukuma! Sukumaaa! Jikaze mwanangu...
moja... mbili... tatu... haya sukumaaa!” sauti ya mkunga wa jadi, Mama Anunu
ilisikika kutoka ndani ya kibanda cha nyasi na miti, akimhimiza msichana mdogo
aliyekuwa na ujauzito mkubwa, Adelina kujitahidi ili hatimaye ajifungue.
Licha ya ujauzito wake kutimiza umri
wa miezi kumi na moja, Adelina alishindwa kabisa kujifungua. Alishahangaika
sana kwenye hospitali mbalimbali bila mafanikio, alishapewa dawa za kuongeza
uchungu mara kadhaa bila mafanikio, mwisho ndipo aliposhauriwa kwenda kwa mama
Anunu.
OCHUNESS; MAPINDUZI KATIKA BONGO FLEVA
Makala: Hashim Aziz
“Wanaotaka shindana nami sema... watapata
zero! Tena na tena, tena na tena...” hicho ni kibwagizo maarufu kilichopo katika
ngoma ya mwanadafada Witness Mwaijaga ‘Witnesz The Fitnes’, mwanadada pekee
anayekaza kunako gemu la Hip Hop tangu kitambo hicho!
Wengi wanamfahamu vyema tangu kipindi
alichong’ara kwenye mashindano ya Cocacola Pop Star ambapo alikutana na Langa
Kileo (R.I.P) na mwanadada mwingine, Sarah Kais ‘Shaa’, wakakimbiza kinoma na
ngoma yao ya Kiswanglish.
Hata hivyo, kundi hilo halikudumu
kutokana na sababu za kimaslahi, kila mmoja akawa anafanya kazi kama solo
artist, Witnesz akazidi kukaza kimpango wake, akafanya tour nyingi za nje ya
nchi, akarelease ngoma kibao ikiwemo Zero ambayo ilimfanya apate tuzo ya
Channel O (Wimbo Bora wa Afrika Mashariki) pamoja na Tuzo za Kili.BRAZIL HUMILIATION VIRALS: ANGELA MERKEL AS CHRIST THE REDEEMER
Credit: Daily Mail
It was a matter of minutes before the internet was overloaded with viral images mocking Brazil for their 7-1 defeat to Germany.
Doh! Brazil defender David Luiz was heart-broken after the crushing defeat
Bright lights: Christ the Redeemer is illuminated in the colours of the German flag
NILIJIUNGA NA DINI YA SHETANI- 1
Jina
langu naitwa Mkanwa Sebastian au Saba kama wengi walivyozoea kuniita,
mkazi wa Itete, Tukuyu wilayani Rungwe, Mbeya. Baba yangu mzazi,
Sebastian Mwambenja alikuwa ni mchungaji wa Kanisa la Wokovu lililokuwa
kwenye kijiji nilichozaliwa huku mama yangu akiwa ni muuguzi katika
Zahanati ya Lufingo iliyokuwa kijiji cha pili kutoka pale tulipokuwa
tunaishi.
Mimi nilikuwa ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yetu iliyokuwa na watoto saba. Baba yangu alikuwa akitokea kwenye ukoo wa kichifu wa Mzee Mwambenja ingawa baada ya babu yetu kufariki, aliamua kuokoka na ndipo alipoupata uchungaji wa kanisa hilo.
Mimi nilikuwa ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yetu iliyokuwa na watoto saba. Baba yangu alikuwa akitokea kwenye ukoo wa kichifu wa Mzee Mwambenja ingawa baada ya babu yetu kufariki, aliamua kuokoka na ndipo alipoupata uchungaji wa kanisa hilo.
MY REPENTANCE-1 (KUTUBU KWANGU)-1
Naitwa Flaviana Joel, mwanamke mwenye umri wa miaka ishirini na nane. Nilibahatika kuolewa miaka kumi iliyopita, nikiwa bado msichana mbichi katika umri wa miaka kumi na nane tu.
Niliolewa na mume wangu kipenzi, Ibrahim au Ibra kama mwenyewe nilivyozoea kumuita ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye benki moja maarufu ambayo sitaitaja jina kwa sababu maalum, iliyopo hapa jijini Dar es Salaam.https://www.facebook.com/simulizizamajonzi
HEART ATTACK (SHAMBULIO LA MOYO)- 1
MANYUNYU ya mvua yalianza kudondoka huku wingu zito likiendelea kujikusanya angani, kuashiria mvua kubwa iliyokuwa inataka kunyesha. Japokuwa ilikuwa bado ni mapema, giza lilitanda angani na kufanya watu karibu wote kukimbilia majumbani mwao kabla mvua hiyo haijaanza kunyesha.
Radi kali na ngurumo za kutisha zilikuwa zikisikika huku na kule na kuzidi kuifanya hali kuwa tete. Manyunyu yaliongezeka na muda mfupi baadaye, mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ilianza kumwagika.
Tuesday, July 8, 2014
DIAMOND, ‘MCHAWI’ WAKO HUYU HAPA
Makala: Hashim Aziz
Jamaa anaitwa Kevin Liles, alizaliwa
Februari 27 pande za Baltimore, Maryland nchini Marekani. Japokuwa jina na sura
yake havijulikani kiivyo, Kevin ndiye ‘mastermind’ wa wasanii wakubwa wanaopeta
kwenye levo za kimataifa wakiwemo Jay Z, Diddy, Kanye West, Trey Songz, Big
Sean, Rick Ross, Rihanna na wengine wengi kibao.
KEVIN
NI NANI HASA?
HUJUI KUTONGOZA? FUATA MBINU HIZI
Ni wiki nyingine ambapo mwenyezi Mungu
ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo
mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka kuzungumza na wewe rafiki yangu ambaye umri wa kuingia kwenye ndoa
umefika lakini bado hujabahatika kumpata mwenzi wako ambaye malengo yako ni
kuingia naye kwenye ndoa.
Maendeleo ya teknolojia yamebadilisha
mambo mengi katika maisha yetu ya kila siku. Zamani ilikuwa kama kuna mwanamke
au mwanaume unampenda, basi lazima uhangaike sana mpaka utakapopata nafasi ya
kuzungumza naye, na kama huna ujasiri wa
kumtongoza ana kwa ana basi ndiyo umemkosa.
Subscribe to:
Posts (Atom)
THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1
Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...
-
Ni wiki nyingine ambapo mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo mbalimbali yanayohusu ...
-
HASH POWER 7113 NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa. Ni wiki nyngine tunapokutana kwenye busati letu ambapo tunajuzana na kuja...