Monday, August 2, 2010
ndoa za mastaa: CHELSEA CLINTON VS MARC MEZVINSKY , T.I VS TAMEKA
Mwishoni mwa wiki iliyopita, mastaa wakubwa duniani, Chelsea Clinton (Mtoto wa Bill Clinton) na Marc Mezvinsky walifunga ndoa, na kufuatiwa na mastaa wengine, Rappa Clifford Harris, Jr ‘T.I’ (29) alifunga pingu za maisha na mchumba wake wa siku nyingi, Tameka Cottle ‘Tiny’ huko Miami Beach, Marekani. Harusi ya T.I na Tameka ilionekana kuwa kivutio kikubwa kwa kuwakutanisha mastaa wengine kama Shaquille O'Neal, Kandi Burruss (member wa Xscape), Antonia "Toya" Carter, Monica,Usher Raymond, Jermaine Dupri, TLC's Rozonda "Chilli" Thomas, Bow Wow, Nelly, Ashanti, Trina, Andrew Young (Meya wa zamani wa Atlanta), Julio Iglesias, na Gloria Estefan. Wawili hao waliulamba kinoma, T.I akiwa ndani ya bonge la Prada Tuxedo huku Cottle akiwa ndani ya Valentino. Unaambiwa ilikuwa ni bonge la mfuniko ndani ya Miami Beach.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1
Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...
-
Ni wiki nyingine ambapo mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo mbalimbali yanayohusu ...
-
Geneviv ni binti mdogo ambaye amezaliwa katika familia yenye maisha mazuri sana.Mungu amemjaalia kuwa na sura nzuri yenye mvuto.Bahati mbaya...
No comments:
Post a Comment