Sunday, August 29, 2010

MAUAJI YA FREEMASON

Katika mwaka 2004 Mwanachama mmoja wa Freemason kwa jina la William James aliuwawa na mwanachama mwenzake kwa kufuata amri na maagizo ya Freemason.
Magazeti ya Ulaya yalisema William James kabla ya kuuwawa kwake alikuwa amefungwa kitamba usoni, katika chumba cha siri cha freemason kilichopo kwenye ukumbi wa (Fellowcraft lodge) huko New York Marekani alipokuwa akihudhuria sherehe za kula kiapo.

Kawaida Chama cha Freemason wanapomchukua
1888 mauaji mengi yalifanyika huko Uingereza ambapo watu walikua wanauwawa kwa kukatwa koo na baadhi ya sehemu zao za mwili kuchukuliwa na Muuaji mmoja maarufu kwa jina la Jack the Ripper lakini hakuwahi kukamatwa

Saa saba na dakika arubaini usiku wa tarehe 30 September 1888 Mwili wa Captain Catherine Eddoes ulipatikana kwenye kona ya Maiter square

Saa nane na dakika hamsini na tano usiku huohuo Afisa wa Polisi kwa jina la Alfred alipata kipande cha Apron nyeupe karibu na sehemu iliotokea mauaji hayo na kwenye ukuta wa sehemu hiyo kulikua na maandishi ya kifreemason.
Maandishi hayo yaliamriwa kufutwa haraka na Mkuu wa polisi wa wakati huo Sir Charles Woren ambaye pia nae alikua Mwanachama wa freemason.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...