Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Nigeria, Nkem Ikeh amesema kuwa binafsi anapenda sana kuigiza movies za kimalavidavi, lakini tatizo kubwa ni mumewe ambaye hapendi kabisa kumuona akishiriki katika movie yoyote ambayo ndani yake kuna masuala ya mapenzi.
“Mume wangu ananipenda sana na ndiyo maana ana wivu. Najua huwa hajisikii vizuri kabisa kuniona kwenye movie nikiwa nacheza sehemu za kimapenzi, huwa anakasirika sana,” aliongea Nkem na kuzidi kueleza kuwa huwa anajitahidi kumuelewesha mumewe ili aipende kazi yake, ingawa imekuwa vigumu kumshawishi.
“Siwezi kuacha kuigiza, ila ntakachofanya ni kuepuka kucheza zile sehemu zinazomkasirisha mume wangu. Sipendi kumuudhi mume wangu kwa kuwa ananipenda na mimi nampenda sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1
Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...
-
Ni wiki nyingine ambapo mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo mbalimbali yanayohusu ...
-
Geneviv ni binti mdogo ambaye amezaliwa katika familia yenye maisha mazuri sana.Mungu amemjaalia kuwa na sura nzuri yenye mvuto.Bahati mbaya...
No comments:
Post a Comment