HASH POWER 7113// Official Code Uncensored
Uchunguzi wa awali wa polisi katika miili iliyokutwa eneo la tukio ambayo ilifanyiwa post moterm (Uchunguzi wa maiti baada ya kifo) na askari wa kitengo cha upelelezi, afande Mwita Rutashobya pamoja na jopo lake wa wataalamu wa alama na uchunguzi wa eneo la tukio (scene investigation …) na walewa foresinc inestigation waliattend kaziipasavyo kwani walifanikiwa kupata alama za vidole kutoka kwenye moja kati ya miili ile.
“”It seems the killer used gloves but mistakenly catch this lady with bare hands, we got him!”
(Inaonesha muuaji alivaa glovu lakini kwa bahati mbaya akamshika huyu msichana na mikono mitupu! Tumembamba,” alisema afande Rutashobya wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wake kwa kamanda mkuu wa polisi kanda ya Dar es Salaam, Lauden Kambi Kova. Kamanda Kova aliichukua taarifa ile na kwenda kuiwasilisha kwenye kikao cha dharura cha maafisa wa ngazi za juu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na polisi wa kimataifa, Interpol.
Alama za vidole zilizokutwa kwenye mmoja kati ya miili ile sita iliyopatikana awali, ilionesha alama za kipekee ambazo baada ya kufanyiwa utafiti wa kina, ziliingizwa mtandaon na taarifa zake kuanza kutafutwa kwenye maeneo yote muhimu yanayohusisha alama za vidole.
“Nomally every human being has got his?her own and unithumbnail mark or fingerprint. The forensic inestigation, in no doubt will lead us to the critical point of determining the killer, aliwasilisha hoja kamanda Lauden na maafisa wote wakatingisha vichwa kuonesha kuridhishwa na jinsi uchunguzi wa kina ulivyoanza kufanywa.
Kilichofuatia ilikuwa ni kugawana majukumu, baadhi ya maafisa wakaenda idara ya uhamiaji, wengine ,uwanja wa ndege, wengine bandarini na kwenye kila idara ambayo ilhusisha alama za vidole. Wataalamu wa teknolojia ya mawasiliano wa majeshi ya nchi zotena wale wa Interpol hawakuwa nyuma, walitumia saa nyingi mtandaoni kusaka alama za vidole zilizokuwa zinafanana na zilezilizokutwa kwewnye moja kati ya miili ile.
Saa chache baadaye kila mmoja alikuja na jibu. Kila kitu kilifanyika kwa kasi kubwa, shinikizo likawa kubwa na kila mmoja akawa anawajibika ipasavyo kwenye idara yake kumbaini muuaji.
Wananchi nao waliendelea kujikusanya kwenye makundi kujadili juu ya kile kilichotokea usiku wa Tamasha la Night Campus, lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. Wingu la sintofahamu lilitanda karibu nchi nzima, kila mmoja akawa anasubiri kwa hamu kuona jinsi uchunguzi wa polisi utakavyombaini muuaji.
Shuhuda zilizokuwa zinatolewa na maelfgu ya wahanga wa tukio lile waliokuwa kwenye hospitali ya Muhimbili na kwenye hospitali nyingine za jijini Dar es Salaam zilikuwa zikipishana. Wapo waliosema hawakuelewa chochote kilichoendelea baada ya miili ya wasichana sita kuokotwa. Hawa walikuwa ni wale amabao walipoteza fahamu baada ya kuiona miili hiyo.
Wengine walielezea kuwa walikutana uso kwa uso na shetani kwenye Viwanja hivyo, huku baadhi wakidiriki kukiri kuwa waliona tasira ya shetani kwenye giza.
Taarifa zile zilizokuwa zinatofautina, zipo ambazio zilihusisha tukiozima na ushirikina wakati kundi linguine lilishikiliaimani kuwa jamii ya siri ndiyo iliyokuwa inahusika na tukio lilelililotafsiriwa na wengi kama alama ya mwisho wa dunia.
Uchunguzi kutoka idara ya uhamiaji ulionesha kuwa mtu mwenye alamza za vidole zilizokuwa zinafanana kwa kiasi kikubwa na zile zilizotolewa na jeshi la polisi kama alama za mtu anayetajwa kuhusika na tukio hilo, yalionesha kuwa mtu huyo amesafiri kwenda nje ya nchi siku moja iliyopita, huku nakala ya hati ya kusafiriaikiwa na aalama za vidole ambazo zlizshabihisna kwa kila kitu na zile zilizokuwa zinashikiliwa na polisi.
Jina la mtuhumiwa, likachukuliwa kwa siri kubwa pamoja na picha zilizokuwa zinaonesha sura yake. Akaanza kusakwa kwa udi na uvumba kwa usiri mkubwa. Taarifa za kip[olisi na zilerza kiintelijensia zilibakia kuwa siri ya wale waliohusika tu.
Waandishi wa Gazeti la Uwazi ndiyo waliokuwa wa kwanza kuufichua ule ulioaminikw kuwa ndiyo ukweli kwa wakati ule. Gazeti likatoka likiwa na kichwa cha habari kikubwa kilichosomeak kuwa Muuajini mhitimu wa chuo kikuu cha dare s Salaam. Taarifa ileilipotoka, maafisa wa ngazi za juu wakaamua kulitmia gazeti la Uwazi na mengine sambamba na vyombo vya habari vya kielektroniki, redio, televisheni na mitandao ya kijamii jina la … likatajwa kuwa ndiyo mtuiwa namba moja wa tukio lile. Zawadi ya donge nono ikatangazwa kwa yeyote ambaye angefanaikisha kupatikana kwake.
***
“Mimi namfahamu vizuri kwa sababu ni rafiki yabngfu wa karibu lakini siwezi kusema chochote kama ni kweli amehusika na tukio hilo au la. Ninachojua ni kuwa aliwahi kusoma chuo kikuu cha Dar es Salaam na hivi tunavyoongea tayari ameshaondoka kueleke nchini… ambapo atafunga ndoa tarehe 21 ya mwezi huu. Taarifa ile ya Deo mwanantilya, rafiki wa karibu wa mtuhumiwa namba moja ilinukuliwa na jeshi lapolisi na idara ya usalama wa yaifa.
The forensic inestigation then revaled tha a person named… used passport and visa which used the same thumb nail and fingernails exactly to that which was found on the incident scene. The name, carried in condition of anonymity to media and unauthorized paersonels, was taken to the summit of higherlevel officials who then checkedit difficult.
No comments:
Post a Comment