SIKU YA UKIMWI DUNIANI, UNAIADHIMISHAJE?

HASH POWER 7113
Desemba Mosi, kila mwaka huwa kunafanyika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani. Wewe utaiadhimishaje siku hii mwaka huu? 

WORLD'S AIDS DAY 

FIRST LADIES, MICHELLE OBAMA & NETANYAHU'S WIFE

HASH POWER 7113// Acreditation: Michelle Obama Pics


0
First Lady Michelle Obama has tea with Mrs. Netanyahu, wife of Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu, in the Yellow Oval Room of the White House, July 6, 2010. (Official White House Photo by Samantha Appleton)

CONGO ACCUSES RWANDA OF SHIELDING WAR CRIMINAL

HASH POWER 7113 (Acreditation: Yahoo News)
Congo Rebels (M23)

UNITED NATIONS (Reuters) - The Democratic Republic of Congo accused neighboring Rwanda on Wednesday of supporting a rebellion in the country's east to prevent the arrest of former Congolese general Bosco Ntaganda who is wanted by the International Criminal Court.

KABURI LA SHARO MILIONEA HILI HAPA

Hii ndiyo nyumba ya milele ya Sharo, mahali alipozikwa.
HASH POWER 7113
Mazishi ya msanii maarufu wa Komedi na muziki wa Bongo Fleva, Hussein Mkiety 'Sharo Milonea' yalifanyika jana nyumbani kwao, kijiji cha Lusanga- Muheza mkoani Tanga na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji.
Innah Lillah Wayna Illaih Rajiun!
Nyumbani kwa marehemu

Mama mzazi wa Sharo

Sehemu ya waombolezaji

Mzee Majuto msibani

UNENE WA KUPINDUKIA (OBESITY)


Wengi huwa wanaamini unene ndiyo afya, kwamba mtu mnene ana afya njema kuliko mwembamba lakini ukweli ni kwamba unene wa kupindukia (obesity) ni tatizo ambalo kila anayependa kuishi maisha marefu anapaswa kupigana nao.
Obesity ni hali ambayo mafuta yaliyozidi mwilini (excess body fat) hujikusanya katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kwenye moyo, na kusababisha madhara makubwa ya kiafya kwa mhusika ikiwemo magonjwa ya moyo, kisukari au wakati mwingine vifo vya ghafla.
UTAJUAJE KAMA UNA OBESITY?
Wengi hushindwa kuelewa kama unene walionao ni wa kawaida au la, naamini baada ya kusoma mada hii, kila mmoja atakuwa na uwezo wa kujitambua mwenyewe bila hata kwenda kwa daktari.
BODY MASS INDEX (BMI)

UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES MELLITUS)

HASH POWER 7113


Kisukari ni ugonjwa unaosababishwa na kuzidi kwa kiwango cha sukari mwilini, kunakoweza kusababishwa na ulaji mwingi wa sukari au kushindwa kwa kongosho (pancrease) kuzalisha kichocheo cha Insulin ambacho ndiyo hufanya kazi ya kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.
Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa watu wengi duniani, huku ukielezwa kusababisha vifo vingi
Aina za Kisukari

IS JAY Z MASONIC?

HASH POWER 7113
Rumours are trending worldwide claiming that the Rap Mogul, Shawn Carter is a mason, and that he believes in Light Bearer! No confirmation has yet been found but the symbols and words Hova uses, signify something beyond normal understanding.

SHARO MILIONEA AFARIKI KWA AJALI (EXPLICIT PHOTOS)

Sharo baada ya ajali (Kwa mujibu wa Mark Blog)

Enzi za uhai wake
HASH POWER 7113//Accreditation: Mark Erick Blog
Habari tulizozipata usiku wa jana, zinaeleza kuwa comedian na mwanamuziki aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na staili yake ya uigizaji, Hussein Mkiety 'Sharo Milionea' amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari jijini Tanga.
Inna Lillah Wayna Illaih Rajiun!