![]() |
| Hii ndiyo nyumba ya milele ya Sharo, mahali alipozikwa. |
Mazishi ya msanii maarufu wa Komedi na muziki wa Bongo Fleva, Hussein Mkiety 'Sharo Milonea' yalifanyika jana nyumbani kwao, kijiji cha Lusanga- Muheza mkoani Tanga na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji.
Innah Lillah Wayna Illaih Rajiun!
![]() |
| Nyumbani kwa marehemu |
![]() |
| Mama mzazi wa Sharo |
| Sehemu ya waombolezaji |
![]() |
| Mzee Majuto msibani |




No comments:
Post a Comment