Friday, May 18, 2012

RESTARE IN PACEM ETERNIS MAFISANGO

HASH POWER 7113// GLOBAL PUBLISHERS
Vilio na majonzi vilisikika leo asubuhi katika viwanja vya TCC Chang’ombe, jijini Dar es Salaam,  wakati maelfu ya waombelezaji walipojitokeza kuuaga mwili wa mchezaji wa timu ya Simba, Patrick Mutesa Mafisango, aliyefariki usiku wa kuamkia jana alfajiri kwa ajali ya gari maeneo ya Chang’ombe  jijini.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa, Juma Nyoso (kushoto) na John Boko, wakiwa wamebeba  jeneza lililokuwa na mwili wa Mafisango kuupeleka sehemu iliyopangwa.
Jeneza likiwa na kombe la ubigwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania lililotwaliwa na Simba mwaka huu.
Wachezaji…

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania wakiwasili TCC Chang'ombe.
....Wakiusubiri mwili wa Mafisango.
Mwili wa Mafisango ukiwasili TCC.
Golikipa wa timu ya Simba, Juma Kaseja, akilia kwa uchungu.
Msemaji wa  Simba, Ezekiel Kamwaga, akilia.
Sehemu ya umati wa waombolezaji.
Kocha Mkuu wa Simba, Milovan Cirkovic, akiwa na huzuni.
Wahariri wa gazeti la Champion, Saleh Ally (kushoto) na John Joseph,  wakiteta jambo.
Mdogo wa marehemu akisaidiwa na waombolezaji baada ya kuishiwa nguvu.  

                            (PICHA ZOTE  NA  ISSA MNALLY, RICHARD

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...