Monday, May 21, 2012

MV BUKOBA, MIAKA 16 TANGU AJALI ITOKEE

HASH POWER 7113// Acreditation IPP Media na Mitandao
Mei 21, 1996 ni siku ambayo haitasahaulika kwenye kumbukumbu za Watanzania wengi ambapo ajali mbaya na ya kihistoria ya meli ya Mv Bukoba, ilitokea katika ziwa Victoria.
Ajali hiyo iliacha kumbukumbu za kuhuzunisha miongoni mwetu, wengi tukawapoteza wapendwa wetu baada ya meli kupinduka kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kuzidiwa na uzito wa mizigo na abiria waliokuwa ndani yake.
Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pem peponi, Aaamen!
Inna Lillah Wayina Illaih Rajiun.
Meli ikizama baada ya kupinduka (Acreditation: www.ippmedia.com)
Mnara wa kumbukumbu ya waliokufa kwenye ajali hiyo
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye makaburi ya wahanga wa ajali hiyo.
 

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...