Monday, May 14, 2012

MENEJA WA JOHANNESBURG HOTEL AFARIKI KWA AJALI

HASH POWER 7113

Aliyekuwa Meneja wa Hoteli ya Johannesburg na The Atriums, Hudson Wilson Msalali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Jumatatu, Mei 14, 2012) kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Gereji, Mabibo jijini Dar es Salaam wakati akirejea nyumbani kutoka kwenye majukumu ya kila siku.

Mipango ya mazishi inafanywa ndani ya Makao Makuu ya GPL, Bamaga- Mwenge.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALIPEMA PEPON, AAAMEEEN!

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...