First
Lady Michelle Obama has tea with Mrs. Netanyahu, wife of Israeli Prime
Minister Benjamin Netanyahu, in the Yellow Oval Room of the White House,
July 6, 2010. (Official White House Photo by Samantha Appleton)
UNITED NATIONS (Reuters) - The Democratic Republic of Congo accused neighboring Rwanda on Wednesday of supporting a rebellion in the country's east to prevent the arrest of former Congolese general Bosco Ntaganda who is wanted by the International Criminal Court.
Hii ndiyo nyumba ya milele ya Sharo, mahali alipozikwa.
HASH POWER 7113 Mazishi ya msanii maarufu wa Komedi na muziki wa Bongo Fleva, Hussein Mkiety 'Sharo Milonea' yalifanyika jana nyumbani kwao, kijiji cha Lusanga- Muheza mkoani Tanga na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji. Innah Lillah Wayna Illaih Rajiun!
Wengi huwa wanaamini unene ndiyo afya, kwamba mtu
mnene ana afya njema kuliko mwembamba lakini ukweli ni kwamba unene wa
kupindukia (obesity) ni tatizo ambalo kila anayependa kuishi maisha marefu
anapaswa kupigana nao.
Obesity ni hali ambayo mafuta yaliyozidi mwilini (excess
body fat) hujikusanya katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kwenye moyo, na
kusababisha madhara makubwa ya kiafya kwa mhusika ikiwemo magonjwa ya moyo,
kisukari au wakati mwingine vifo vya ghafla.
UTAJUAJE
KAMA UNA OBESITY?
Wengi hushindwa kuelewa kama unene walionao ni wa
kawaida au la, naamini baada ya kusoma mada hii, kila mmoja atakuwa na uwezo wa
kujitambua mwenyewe bila hata kwenda kwa daktari.
Kisukari
ni ugonjwa unaosababishwa na kuzidi kwa kiwango cha sukari mwilini, kunakoweza
kusababishwa na ulaji mwingi wa sukari au kushindwa kwa kongosho (pancrease)
kuzalisha kichocheo cha Insulin ambacho ndiyo hufanya kazi ya kurekebisha
kiwango cha sukari kwenye damu.
Ugonjwa
huu ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa watu wengi duniani, huku ukielezwa
kusababisha vifo vingi
HASH POWER 7113 Rumours are trending worldwide claiming that the Rap Mogul, Shawn Carter is a mason, and that he believes in Light Bearer! No confirmation has yet been found but the symbols and words Hova uses, signify something beyond normal understanding.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alipokuwa anamnadi Kafumu kwenye kampeni
Aliyekuwa mbunge wa Igunga, Tabora kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dalali Peter Kafumu amevuliwa ubunge wa jimbo hilo na Mahakama Kuu Kanda ya Tabora baada ya kubainika kuwa hakumshinda kihalali mpinzani wake, Kashinje wa Chadema.
Mahakama hiyo imechukua hiyo leo baada ya kuridhishwa na ushahidi wa pande zote mbili ambapo pia imebainika kuwa viongozi mbalimbali wa kiserikali, wakiwemo mawaziri na viongozi wastaafu walishirikiana kuwarubuni na kudaiwa kutoa rushwa kwa wananchi wa jimbo hilo ili Kafumu ashinde.
Habari hizo si nzuri kwa wanachama wa CCM ingawa kwa upande mwingine zimepokelewa kwa shangwe na mashabiki wa vyama pinzani hususan Chadema.
Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi has died at the age of 57, state media say, after weeks of illness.
A government spokesman said Mr Meles had died in a hospital
abroad - but did not say exactly where or give details of his ailment.
Meles Zenawi
Speculation about his health mounted when he missed an African Union summit in Addis Ababa last month.
Mr Meles took power as the leader of rebels that ousted communist leader Mengistu Haile Mariam in 1991.
He had dominated Ethiopian public life since the 1990s, as president and then prime minister.
He was austere and hardworking, with a discipline forged from
years spent in the guerrilla movement - and almost never smiled, says
Elizabeth Blunt, the BBC's former correspondent in Addis Ababa.
HASH POWER 7113
Mashindano ya kumsaka Miss World 2012 yaliyofanyika Agosti 18, 2012 katika ukumbi wa Dongsheng Fitness Center, Ordos, Mongolia nchini China na kushirikisha warembo 116, Tanzania ikiwakilishwa na Lisa Jensen, yamemalizika na kumtangaza Yu Wenxia wa China kuwa mshindi.
Nafasi ya pili ilishikwa na Sophie Moulds wa Wales na ya tatu ikachukuliwa na Jessica Kahawaty.
Nafasi ya nne hadi ya saba zilichukuliwa na Deanna Robins wa Jamaica, Atong Demach wa Sudan Kusini (ameshinda taji la Miss Afrika), Mariana Notarangelo wa Brazili na Vanya Mishra wa India.
May Allah bless you all on this auspicious day of Eid,
and May it be a new beginning of happiness.
May the day delight
and the moments measure all the special joys
for all of you to treasure.
May the year ahead be fruitful too,
for your home and family and specially for you
HASH POWER 7113// Acreditation: Reuters, Yahoo News
Photo: Reuters
Crime scene investigators combed the site of the shooting, which was
cordoned off with yellow tape, collecting spent cartridges and the slain
miners' bloodstained traditional weapons - machetes and spears.
Six firearms were recovered, including a service revolver from one of the police officers killed earlier in the week.
Prior to Thursday, 10 people had died in nearly a week of
conflict between rival unions at what is Lonmin's flagship plant
Kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari
Tanzania, Dk. Steven Ulimboka amerejea leo kutoka nchini Afrika Kusini alikopelekwa kwa matibabu baada ya kutekwa, kuteswa kisha kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande na watu wasiojulikana. Umati mkubwa wa watu ulijitokeza kumlaki alipowasili majira ya saa 8:15 mchana, Jumapili ya Agosti 12, 2012. Dk Uli anasema yupo fit kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Dk Ulimboka wakati akitibiwa, kabla ya kupelekwa Afrika Kusini.
Dk Ulimboka, aliyeshika maua wakati akirejea nchini.
NEW YORK (AP) — Eminem, who battled an addiction to prescription drugs, thanked his fans at a New York concert for helping him get through dark times.
The
39-year-old told hundreds Thursday night that he "wouldn't have gotten
out of that dark place without y'all" before he performed the
Grammy-winning song "Not Afraid." He said the performance was "dedicated
to anybody tonight who's been through personal struggles."
Lile shindano lililowabamba watu kibao ndani na
nje ya Bara la Afrika la Big Brother Africa ‘Stargame’, Jumapili iliyopita
lilifikia tamati ambapo mshiriki kutoka Sauzi, Keagan Petersen aliibuka kidedea
na kunyakua kitita cha dola 300,000 (zaidi ya Sh. Milioni 450) huku Prezoo
kutoka Kenya akishika nafasi ya pili.
Kwa mujibu wa wadau waliokuwa wanalifuatilia
shindano hilo, Prezoo aliyekuwa na nafasi kubwa ya kuibuka kidedea, ameponzwa
na tabia yake ya kucheza na mioyo ya mabinti mjengoni, kutokuwa mkweli kwenye
mapenzi kama ilivyotokea kwa Goldie na kupenda ugomvi na ulevi wa kupindukia,
mambo yaliyompunguzia mashabiki na hivyo kukosa kura nyingi.
Hata hivyo, licha ya kushika nafasi ya pili,
Prezoo amelamba dili la nguvu la kuwa balozi wa Kampeni ya ONE na kupata zali
la kwenda kuhudhuria shoo ya Jay Z nchini Marekani siku chache zijazo.
Washiriki kutoka Tanzania, Hilda na Julio
walitolewa katika hatua ya kwanza ya mtoano na kusababisha Watanzania wengi
wasiendelee kufuatilia shindano hilo.
I guess the only way you want to communicate with me is through the media. I recently read your article in Vibe and I felt like I needed to contact you.
First off, I want you to know how happy and proud I am of you and your success. I was also blessed that your mother and step-father did an excellent job of raising you to the man you are today. I can also say that I am proud that you have done your best to be a father to your daughter. I don’t want you to have the regrets that I have had for not being in your life more than I have been. Your Grandfather, my Dad, left me at an early age as well, it is time to stop this cycle.
JANA tarehe 18 Julai, 2012, majira ya alasiri kumetokea ajali ya kuzama kwa meli ya MV SKAGIT katika eneo la Chumbe, Zanzibar. Meli hiyo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kueleka Zanzibar ilikuwa imebeba watu 290. Kati yao watu wazima 250, watoto 31 na wafanyakazi wa meli 9.
Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vya Serikali ya Muungano yaani JWTZ na Polisi waanze kazi ya uokoaji mara moja.
Kazi hiyo imefanywa kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na meli za makampuni binafsi. Mpaka giza lilipokuwa limeingia na hivyo kazi ya uokoaji kusitishwa mpaka kutakapokucha tarehe 19 Julai, 2012, watu 136 walikuwa wameokolewa na maiti 31 zilikuwa zimepatikana. Aidha, mali zilizokuwa kwenye meli hiyo hazikuweza kuokolewa.
Kufuatia ajali hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano alizungumza na Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Alimpa pole kwa ajali iliyotokea hasa kwa vifo na majeraha waliyopata Watanzania wenzetu na watu wasiokuwa raia wa Tanzania.