Saturday, July 30, 2011

FIESTA 2011, HAINA MAJOTROO

HASH POWER 7113
Shoo ilianza mapema, wakaanza kupanda maandagraundi kadhaa...
Ngoma zikaanza kukolea alipopanda Mataluma, Chalii Young Dee akafuatia na kufunika mbaya wakiwa mtu mbili kwa steji...
SAA 4 USIKU
Akafuatia Dullayo, kisha kutoka Mbeya wakafuatana Izzo Bizness na Godzilla...
Akafuatia Mwasiti na Im the Soldier, kijanja wakapishana na Chid Benzi, burudani ikaendelea.
SAA 5 USIKU
Kilichoendelea ikawa ni fleva mwanzo mwisho... wakasimama Mapresenta Adam Mchomvu na Hamis Mandi 'B12' na kushindana kuangusha Playlists kali... Dj Fetty akawa ndiyo jaji
Shoo inaendelea...
Dj PQ kwa mtambo akisababisha kwenye 1&2



No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...