Tuesday, June 7, 2011

REDSAN AJA NA ENEMIES

HASH POWER 7113
Swabiri Mohammed aka Redsan aka king of dancehall wa Kenya ni moja wa artists waliofanya Kenya Music Industry,na sasa amekuja na ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Enemies Humo ndani amefunguka kuhusu....ukiwa una mafanikio kwenye kitu unachofanya lazima uwe na haters aka maadui dhidi yako coz sio wote wanaopenda mafanikio yako.
Habari kwa hisani ya TeenTz.com

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...