Nilimuua Nimpendaye ni Riwaya ya kusisimua
iliyotungwa na mtunzi mahiri, Azizi Hashim @hashpower na kusimuliwa kwako na
Nezia Moris.
Ndani ya simulizi hii, utakutana na visa vya
kusisimua kuhusu mapenzi, ambapo msichana mdogo, Eunice anajikuta akiangukia
kwenye penzi la mtu hatari, ambaye ndiye aliyehusika na kifo cha baba yake
mzazi.
Sikiliza simulizi hii kuanzia mwanzo mpaka mwisho,
usisahau kusubscribe, kudownload na kushare!
Copyright@Aziz Hashim 2021