Sunday, May 5, 2013

MLIPUKO WA BOMU KANISANI ARUSHA WAUA WATATU, WENGINE WAJERUHIWA

HASH POWER 7113


Mlipuko wa kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu umetokea katika Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Kaskazini mwa Tanzania na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine zaidi ya 57 kujeruhiwa.
Baadhi ya majeruhi

nje ya kanisa kulipotokea mlipuko

baadhi ya watu wakishangaa bomu lilipolipukia


Balozi wa Vatican nchini Tanzania, Archbishop Francisco Montecillo Padilla aliyekuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kanisa jipya, alifanikiwa kuondoka salama eneo la tukio bila kupata madhara yoyote.

Kwa mujibu wa msemaji wa polisi, Advera Senso mtu mmoja amekamatwa akidhaniwa kuwa ndiyo aliyefanya tukio hilo.
 

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...