Wednesday, July 28, 2010

TWENDE SASA CHAMA LANGU

hapa ndipo nilipopatria elimu yangu ya A-level. Ni Tosamaganga Sec School, Iringa.

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...