Exclusive: T.I KUTUA BONGO FIESTA


Officially Confirmed: Msanii Clifford Joseph Harris 'TI' atatua Bongo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 'Ni Sheedah! Hapa chini ni wasifu wake kwa wale ambao bado hawamsomi fresh.