tag:blogger.com,1999:blog-1858244901582008292.post5839637562774989097..comments2024-03-28T02:40:09.760+03:00Comments on Hashpower7113: MAZOEZI YA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME (PHYSIOTHERAPY FOR MALE IMPOTENCE)AZIZ HASHIMhttp://www.blogger.com/profile/11770714053810608675noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1858244901582008292.post-21797292609951094752013-03-10T10:04:48.380+03:002013-03-10T10:04:48.380+03:00samahani administrator nadhani unahaja ya kupiti a...samahani administrator nadhani unahaja ya kupiti a marejeo zaidi kutoka kwa mgunduzi wa zoezi hili ambaye ni Dr. Arnold H. Kegel Mwaka 1940 mtaalamu wa magonjwa ya wanawake alitembelewa na mgonjwa aliyejulikana kwa jina la Doris Wilson.

Huyu mama alikuwa na tatizo baada ya kuzaa mtoto wake wa tatu ilikuwa kwamba kila kibofu chake cha mkojo kikijaa tu basi akicheka tu, au akikohoa tu, au akiruka tu ghafla mikojo anaanza kuchuruzika yenyewe bila uwezo wa kuizuia. Hivyo alianza kuvaa pad ili kujizuia na mikojo tatizo ambalo lilimpeleka kwa Dr. Kegel.
Kutokana na uchunguzi wa Dr. Kegel aligundua kwamba tatizo lake linasababishwa na kulegea kwa misuli inayozuia mikojo isitoke bila matatizo na hivyo alihitaji upasuaji.
Lakini kabla ya kufanya upasuaji alimshauri afanye mazoezi ya kuimarisha hiyo misuli iliyokuwa dhaifu.

UNAPOFANYA ZOEZI HILI NAVYO JUA LAZIMA MKOJO UWE NAO NA SI UFANYE UKIWA HUJABANWA NA MKOJO KISHA UNAFUATA HATUA ZINGINE KAMA ULIVYO ELEZA IF AM NOT MISTAKEN.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/03895796218356968752noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1858244901582008292.post-50601019301351194562012-05-16T03:39:21.152+03:002012-05-16T03:39:21.152+03:00je kwa kipindi hicho cha mazoezi naruhusiwa kufany...je kwa kipindi hicho cha mazoezi naruhusiwa kufanya mapenzi?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08024875005365926730noreply@blogger.com