Sunday, May 12, 2013

RAIS KIKWETE AREJEA KUTOKA AFRIKA KUSINI LEO

HASH POWER 7113
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua…

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...