WAKAZI WA DODOMA WAUPOKEA KWA KISHINDO MSIMU MPYA WA CLOUDS FM

HASH POWER 7113
RAIS KIKWETE AREJEA KUTOKA AFRIKA KUSINI LEO

HASH POWER 7113
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua…

MLIPUKO WA BOMU KANISANI ARUSHA WAUA WATATU, WENGINE WAJERUHIWA

HASH POWER 7113


Mlipuko wa kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu umetokea katika Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Kaskazini mwa Tanzania na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine zaidi ya 57 kujeruhiwa.
Baadhi ya majeruhi

nje ya kanisa kulipotokea mlipuko

MTO NDIYO WALIKUWA WA KWANZA KUMUANIKA MCHEZAJI WA NBA SHOGA, JASON COLLINS

HASH POWER 7113
Wakati ulimwengu wa mpira wa kikapu ukitingishika kutokana na mchezaji Jason Collins wa New Jersey Nets kujitangaza kuwa ni shoga, mtandao maarufu nchini Marekani wa Media Take Out (MTO) umedai kuwa uliwahi kuandika kuhusu habari ya mchezaji huyo mwaka 2006 lakini ukaonekana unadanganya. Hiki ndicho kilichoandikwa na mtandao huo.

Some of y'all OLD SCHOOL MTOers remember way back in 2006 - when we broke the story of a member of the NJ Nets preparing to...