Wednesday, September 5, 2012

MAZISHI YA MWANDISHI DAVID MWANGOSI YAFANYIKA KWAO MBEYA

HASH POWER 7113

 Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba mwili wa marehemu kuelekea makaburini.

Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla…
 Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba mwili wa marehemu kuelekea makaburini.
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko.
Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika nyumba yake ya milele.
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa tayari katika kaburi.
 Mazishi yanaendelea.
 Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la maua kwa machungu.
 Watoto wa marehemu wakiweka mashada ya maua.
Ni ngumu sana kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa.
 Dr Slaa akiweka shada la maua.
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho.
Dk. Mark Mwandosya akiweka shada la maua pamoja na mke wake.
 Rais wa UTPC akiweka shada la maua.
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua.
Mwandishi Mkuu wa Mbeya  yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za mwisho katiaka kaburi.
Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi.
Waandishi wa Habari wakichukua tukio hilo live.
Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Channel 10.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...