Monday, August 20, 2012

YU WENXIA- MISS WORLD 2012

HASH POWER 7113
Mashindano ya kumsaka Miss World 2012 yaliyofanyika Agosti 18, 2012 katika ukumbi wa Dongsheng Fitness Center, Ordos, Mongolia nchini China na kushirikisha warembo 116, Tanzania ikiwakilishwa na Lisa Jensen, yamemalizika na kumtangaza Yu Wenxia wa China kuwa mshindi.
Nafasi ya pili ilishikwa na Sophie Moulds wa Wales na ya tatu ikachukuliwa na Jessica Kahawaty.

Nafasi ya nne hadi ya saba zilichukuliwa na Deanna Robins wa Jamaica, Atong Demach wa Sudan Kusini (ameshinda taji la Miss Afrika), Mariana Notarangelo wa Brazili na Vanya Mishra wa India.
 




No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...