Sunday, August 12, 2012

Dk Ulimboka arejea kwa kishindo

Dk Ulimboka kabla hajaanza kutibiwa.
Kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka amerejea leo kutoka nchini Afrika Kusini alikopelekwa kwa matibabu baada ya kutekwa, kuteswa kisha kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande na watu wasiojulikana. Umati mkubwa wa watu ulijitokeza kumlaki alipowasili majira ya saa 8:15 mchana, Jumapili ya Agosti 12, 2012.
Dk Uli anasema yupo fit kuendelea na majukumu yake kama kawaida. 
Dk Ulimboka wakati akitibiwa, kabla ya kupelekwa Afrika Kusini.

Dk Ulimboka, aliyeshika maua wakati akirejea nchini.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...