Friday, March 16, 2012

unedited script

HASH POWER 7113

 WALKING CORPSE

Ungempiga riusasi ya kichwa Yule mwanaharamu< nimjuavyo lazima atakuwaamevaa bullet proof, kifuani, tuwahi kuondokakabla hajaamka," alisema yule mlinzi aliyemsaidai mzee Kihbacha, kwakasi ya ajabu wakamuingiza mama Shanice kwenye gari la kubebea wagonjwa, dereva akafunga mikanda kwaharaka na kuwaelekeza wengine waliokuwa ndani ya gari lile kufanya kama alivyofanya yryr, Sekundechache baadaye gari likatoka liokiwa linapiga viung'ora jkwa wingi.

"Tunaeleka wapi?"
"We endesha gari rafiki, utakakotupeleka ndiyo huko huko ch amsingi tuondokekwenye mikono ya huyu shetani
Baada ya kufanikiwa kutoka hadi nje, mahali magari yakubebea wagonjwa (ambulance) yalipokuwa yanapaki, Mzee Kibacha, kwa msada mkubwa wa Yule mlinzi aliyemkuokoas kule kwenye chukmba cha kubadilishia nguo, walifanikia kuingia ndani ya gari la kubebea wagonjwa na safsri ya kuondoka eneo llli le kwa kasil  ili fuatia ambapo dereva aklliyekuwa amezungumza nayule mlinzi alikuwa akienndesha kama wanamluwawhisha mgonjwwa kwennnnda lueanja wa ndegfe kama wafanyavyo wanaposasfirisha miili ambayo inakuwa imeshafungwa na madawa.
Dakika kadhaa baadaye walikuwwa ta yari wameshaingila katikla barabarea iliyokuwaw inaelelklllllllllllea mashambani, kazsssskazlini mashariki mwa mji ule wa balluchistanli
Dereva alitii amelekezo aliyopewa, akakanyaga mafuta hadi mwisho, kuelekea kaskazini mwa Balochitsta kwenye.

Gari yako ina uwezo wa kutembea kwa kasi ya misho?
"Hii mzee wangu ni kama zile za Formula One, inakata mpaka kilometa 321 kwa saa, kwenye barabara isiyo na mchanga wala ipitayo ujjangwani."
"Sasa mbonahuzitumii?"
"Daah wemzee, cheki speedometer inasoma 270 bado unaserma zikimbii? Au unataka kukiwahi kifo?"
Dereva wa ambulance na mzee Kibacha walikuwa wakizungumza wakati AMbulanceikiambaa kwa kasi ya ajabu kueleka upande kulipokuwana mbuga za wanyamaziliziokuwa zikisimamiwa na serikali.
"Sasa huku porini ndiyo kunausalamakweli?"
"Ndiyuo, bilakukutana nanw3anyama kuliko hawa binadamu,yaani wamtumier mike wangu kama chombo cha kusafirishia madawa ya kulevya?Haiwezekani…"alisema mzee Kibacha huku akijitahidi kuyazuia machozi.
"Mzee unaonekana kuchanganyikiwa sana eeeh," dereva alimuuliza mzee Kibacha wakati akibadilisha gia na kuzi8di kukanyaga mafuta."
"Mke wangu, mke wangu ananiuma sana, siwezi kukubali kuonanampoteza kirtahisi namna hii, lazima nifamnye kilalinalowezekana kumuokoa.Ayub ia national park
 ***
 
Shanice alikuwa akisali na kumuomba mungu wake kilauchao kuwa afya ya mama yake iwenjemanaa arudishwe tena Tanzania kuendelea na maishaya familia yao kama ilivyokuwa awali, lakini dua zake zilikuwa ni9 kama zinapotea kwenye upepo okwani kilaalipokujwa akipiga simu na kuulizia halia ya mama yake, alikuwa aki8ambia wafadhali yajana.

Hali ilimfanya muda mwingi awe anakaa kwa kujiinami huku akijyutria ytale aliyoy6afanya ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyto yaliyosababuisha hali kama ilei8katokea. Kutwa nzima alikuwa akilia kiasi cha kufranya amacho yake yawe mekundu na kuanza kuvimba.

Kwa kuwa nyumba nzima hyaikuwa na mtru m,wingine zaidi ya yeyte na msichana wao wa kazi, muda mwingi alikuwa akijifungia chumbani kwake, huku milango na madirisha ya nyumba nzima yakiwa yamefungwa.Ukiwa ulitawala katika maisha yake.

Siku zilizidi kusonga kwa kasi huiku kukiwa hakuna dalili zozotew za mama yake kurejea, alipoona upweke unamzidi aliamu kumtafuta dada yake wa hiyari, Maimartha.
ALipoenda nyumbani kwake, hakmkuta na akapewa taareifa kuwa alikuwa ameenda kwenye kambgi ya mamisi waliokuwa wakijiandaa kwa mashindano uya umiss ya eneo lile.
"SIku hizi hata hashindi hapa nyujmbani, kilakukicha anaenda mazoezini na kurudiu usiku,"? kijana aliyemkuta alimueleza .
"Kwani kambai yao ipo wapi?" Shanice alihoji>
Ipo kulekule walikoaanzia," 




Beyonce mjamzito tena
Habari kutoka ndani yaframilia ya nguli waHIP hop, SShawn Carter Jay Z na mkewe Beyonce Knowles, zinaeleza kuwa wawili hapowana hamu kubwaya kuwa na familia yenye watu wengi na wanadhani njia pekee ya kufanikisha hilo ni kuwa na watoto wengi zaidi!  Unaweza usiamini lakini inaelezwa kuwa Beyonce amenasa ujauzito mwingine wakati mwanaye ya kwanza,Ivy Blue akiwa na miezi …pekee.
Kwa mujibu wa mitandao, wawili hao wamepanga kutrouweka hadharani ujauzito huo lakinikilammojaana hamu kubwa ya kumpatia Ivy Blue mdogo wake.




No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...