Saturday, January 7, 2012

MIGOGORO YA NDOA, NANI ANAATHIRIKA ZAIDI?

Irene Uwoya akiwa na mwanaye, Krish
HASH POWER 7113
Si suala geni tena masikioni mwa wengi kusikia fulani kaachana na mumewe au mkewe kwa sababu hizi au zile! Viapo vitakatifu vilivyowekwa baina ya wawili wapendanao kwenye madhabahu au msikitini, vinavunjwa na kila mmoja anachukua hamsini zake.

Vipi kuhusu athari zake? anayeathirika zaidi ni nani? Baba, mama au watoto? Kila mmoja bila shaka atakuwa na jibu lake. Tafakari, chukua hatua!

1 comment:

  1. kwa mtazamo wangu, hakuna wa kusalimika! iwe baba, mama au watoto. ila it is more painful kwa aliyeacha bcoz kutakuwa na kitu ambacho bado anakihitaji kwa aliyemuacha; watoto kukosa malezi ya baba na mama hata kuhisi pengine wasingezaliwa kwa maumivu wanayopata.pengine hata jamii ndiyo inaathirika zaidi, pale watoto wanapokosa muongozo na kuishia kuwa vibaka na machangudoa mtaani kwasababu ya hilo tu..

    ReplyDelete

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...