Saturday, January 14, 2012

MBUNGE REGIA MTEMA AFARIKI KWENYE AJALI

HASH POWER 7113
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Regia Mtema amefariki dunia leo kwa ajali ya gari iliyotokea asubuhi eneo la Ruvu Darajani wakati akienda kukagua shamba lake alilopewa na familia.
Marehemu Regia enzi za uhai wake

Siku alipokuwa akilakiapo bungeni baada ya kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa... Jina lake Lihimidiwe
Inna Lillah wa Inna Ilaih Raji'un

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...