Monday, January 9, 2012

KUBENEA AFANYIWA TENA UPASUAJI WA MACHO

HASH POWER 7113//Hakingowi Blog
Mtendaji mkuu wa magazeti ya Mwanahalisi, Saed Kubenea akiwa katika Hospitali Apollo iliyopo New Delhi nchi India anakotibiwa ugonjwa wa macho. Kubenea yupo hospitalini tangu Jumanne iliyopita na tayari amefanyiwa upasuaji wa macho yake yote mawili jana. Amekuwa akitibiwa kwenye hospitali hiyo tangu mwaka 2008 baada ya kumwagiwa tindikali ofisini kwake, Kinondoni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...