Monday, January 9, 2012

DIAMOND AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 6 JELA

HASH POWER 7113
Diamond akiwa na mcheza shoo wake nje ya mahakama, Iringa
Icon wa Mbagala, Naseeb Abdul 'Diamond' na wacheza shoo wake, leo wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kila mmoja au kulipa faini ya Sh. 50,000 na kulipa Sh.30,000 kama fidia kwa mwandishi Francis Godwin baada ya kumfanyia shambulio siku kadhaa zilizopita mjini Iringa.Hukumu hiyo imesomwa na hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini Iringa (Bomani) na baada ya hukumu washtakiwa walilipa faini hiyo lakini mlalamikaji akagoma kupokea fidia hiyo. Habari kwa msaada wa Misanjo Liviga na Blog ya Francis Godwin- Iringa. 

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...