Saturday, January 7, 2012

AJALI YA MABASI MOROGORO

Askari wa usalama barabarani akimsaidia mtoto huyu ambaye alikuwa miongoni mwa abiria
Wasamaria wema wakisaidia shughuli ya uokoaji
HASH POWER 7113// Acreditation: Haki Ngowi Blog
Mabasi mawili ya Taqwa lililokuwa likitokea Bujumbura kwenda Dar na Moro Best yamepata ajali mbaya eneo la Mikese, kwenye barabara kuu ya Dar-Morogoro na kusababisha watu wengi kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo kinaelezwa kuwa ni lori lililoharibika eneo hilo na kupaki barabarani bila kuweka alama zozote kuashiria ubovu, jambo ambalo limeendelea kuwachanganya madereva wengi na kusababisha ajali.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...