Friday, December 23, 2011

GLOBAL PUBLISHERS: MARRY CHRISTMASS

HASH POWER 7113
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo, leo asubuhi aliwapongeza wafanyakazi wenzake kwa kazi nzuri ambazo wamekuwa wakifanya katika kuinua utendaji wa kampuni yao hasa katika kipindi cha sasa chenye ushindani mkubwa.  Pamoja na pongezi hizo, mkuu huyo wa kampuni hiyo inayochapisha magazeti pendwa ya Uwazi, Risasi, Ijumaa, Champion,  Ijumaa Wikienda na Amani, aliwapa zawadi ya Krismasi na kuwatakia heri ya na fanaka kwa mwaka mpya wa 2012.

Shigongo akitoa nasaha zake kabla ya kutoa zawadi za Krismasi.
Wafanyakazi wakifurahia zawadi zao.

Picha ya pamoja ya kumbukumbu.


No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...