Friday, November 11, 2011

MBEYA KIMENUKA! NI POLISI VS MACHINGA

HASH POWER 7113// Acreditation: Sugu For Mbeya Blog
Hali ni tete jijini Mbeya kufuatia mapambano makali kati ya polisi na wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga) wa soko la Mwanjelwa.
Majeruhi aliyepigwa risasi kichwani akiwa hospitalini
Majeruhi aliyepigwa risasi mkononi akipatiwa matibabu
Polisi wakitumia nguvu kuwadhibiti Wamachinga
Uwanja wa vita. Eneo la machafuko linavyoonekana kwa mbali

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...