Saturday, September 10, 2011

AJALI YA MELI ZANZIBAR/ UPDATES

Waliosalimika kwenye ajali hiyo
HASH POWER 7113// Acreditation; Michuzi
Waokoaji wakifanya kazi yao
Mpaka sasa, taarifa kutoka kwa mamlaka zinazohusika zinaeleza kuwa zaidi ya watu 300 wameokolewa wakiwa wazima, huku idadi ya maiti ikizidi kuongezeka. Muda mfupi uliopita tayari maiti maiti 113 zilikuwa zimeshawasilishwa kwenye Viwanja vya Maisara, huku magari mengine ya jeshi yakizidi kusomba maiti nyingine. Hali ni ya kusikitisha, Zanzibar is full of tears. 
Mamia ya watu wakisubiri kuitambua miili ya ndugu zao        

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...