Saturday, August 13, 2011

Romantic poems

If i could give you one thing in life, i would give you the ability to see youself through my heart. Only then you would realize how special u're to me. I value what we are having. Message from Neyma to her love Omary, IFM.
***
Umbali si kigezo cha kukusahau, bali navuta subira nikiamini tutakuwa pamoja. Uaminifu ndiyo nguzo kuu katika mapenzi japo vishawishi ni vingi. Mengi yanasemwa ila tulindane na tutimize malengo. Ujumbe maalum kwa Shyzath wa Dom, kutoka kwa Basaga wa Mbeya.
***
Friends Are Like Shoes!Some Loose,Some Tight,Some Fit u Up,They Help U as U Walk Through Life.Thats How True Friends Are.Thanx For Being My Size! Message from Ananilea, to her hubby Adamson, Iringa.

***
Hakika mwenye kupenda hachoki kuvumilia. Yuko tayari kukonda mapenzi kuyaridhia. Nami sitakutenda daima nitakulea. Chochote unachopenda mimi nitakuridhia,Nakupenda mpenzi wangu. Ujumbe kutoka CBE Dodoma maalum kwa Shaaban Yussuf wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...