Friday, August 12, 2011

ILIPOISHIA:

"Kwani ameona nini?" Abiria mmoja alihoji kwa sauti ya juu, mwingine akadakia: "Hawa ndiyo wachawi wenyewe, mbona sisi sote tumekaa siti za mbele lakini hatuoni hayo anayoyasema?" Mwingine kutoka nyuma aliibuka na kushinikiza Gamutu ashushwe. Kauli zote zilizokuwa zinatolewa zilikuwa zikigonga kwenye kichwa cha bi Lubunga. Kauli pekee aliyoitoa ilikuwa: "Mjukuu wangu ana matatizo ya akili, tunampeleka hospitali."
Angalau baada ya kauli ile ya Bi Lubunga abiria pamoja na dereva waliamua kumpuuza Gamutu na safari ikaendelea.
SASA ENDELEA...

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...