Tuesday, July 12, 2011

TMK WANAUME HALISI MPYA

HASH POWER 7113// Acreditation; DJ Fetty

Kiongozi wa Kundi la TMK HALISI Juma Nature amepangua kundi zima na kubaki na watano tu ambao ni
1 DOLO
2 BABA LEVO
3 JB WA MABAGA FRESH
4 KG SON
5 Juma Nature mwenyewe.
Hii ni baada ya kusign mkataba na kampuni inayoitwa DLC , kampuni hii ndo itasimamia kila ki2 ikiwemo mambo ya promotion kutafuta shows za nje na ndani ya nchi pia kusimamia mauzo ya kila kitu.
nature amesema kundi linaloitwa tmk unity ikiwa ni jebi na yp tu nao ni halisi watoto.
wiki hii HALISI watatambulisha ngoma yao mpya inaitwa MNATAKAJE ikiwa ni baada ya kutoa hatufanani ya kina jebi 

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...