Saturday, July 9, 2011

ANTI VIRUS PROGRAMME

BREAKING NEWS;Shoo ya Joseph Mbilinyi 'Sugu' iliyokuwa ikifanyikakwenye Viwanja Vya Luanda, Nzovwe Mbeya imevurugika baada ya wazee wa suti a.k.a police kutimba uwanjani na kuwatawanya watu waliokuwa wanafutilia shoo hiyo iliyopewa jinala Burudani Nyumbani. Watu wamekimbia na uwanjani pamebaki plain.

SOMA WARAKA ALIOUANDIKA SUGU BAADA YA SAKATA LA KUANDAMWA NA POLISI JANA NA LEO

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...