Sunday, April 24, 2011

MY HEART IS BLEEDING

Mzee Khalfan alisikia sauti ikimuamuru kusimama vilevile alivyokuwa, vinginevyo angemwagiwa mvua ya risasi. Aliikaidi amri ile na kwa kasi ya ajabu akakimbia kwa mfumo wa zigzag hadi uani alikowaacha Wanae Khaleed na Girbons.
Kilichomsaidia ilikuwa ni kukimbia kwa kuhama upande mmoja hadi mwingine, la sivyo risasi tatu zilizofyatuliwa na jambazi lile zingemsambaratisha kabisa.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...