Wednesday, April 27, 2011

MY DESTINY IS HELL

Hatimaye Daktari anayesumbuliwa na ugonjwa hatari wa saratani ya damu, Festus anamueleza ukweli msichana Radhia kwamba yeye ndiyo baba yake mzazi. Anapasua jipu kuwa alimtelekeza mama yake tangu akiwa mjamzito. Taarifa ile inamshtua Radhia kuliko kawaida. Hataki kuamini anachokisikia na anamwambia wazi kuwa anamchukia. Upande wa pili Festus anakumbuka jinsi alivyoisaliti taaluma yake ya udaktari na kuutumia ujuzi wake kuwatoa wanawake mimba kwa malipo mazuri. Je, nini kitaendelea? Endelea nayo...

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...