Saturday, May 8, 2010

NKIRU SYVANUS ASAHAU SIKU YAKE YA KUZALIWA


Inaweza kuonekana kama ni mzaha, lakini hili ni tukio la kweli ambalo limemtokea msanii nyota wa filamu ya ‘Cry baby’ Nkiru Syvanus, ambaye alijikuta akisahau siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni. Bila mtandao wa kijamii wa Face book na marafiki zake waliokuwa wakipiga simu kumpongeza, huenda Nkiru asingekumbuka kabisa licha ya kwamba alikuwa amepania mno birthday yake hiyo.

Marafiki zake wa karibu ilibidi wamuandalie party ya kishkaji fasta fasta kwani mwenyewe alikuwa bado hajashtukia kuwa ile siku aliyokuwa akiingoja kwa hamu ilikuwa imefika.Party ya kumpongeza ilifanyika huko Enugu kwenye makazi yake, na baadae alitoka pamoja na marafiki zake kuingia kiwanja kula bata.

No comments:

Post a Comment

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...