Wednesday, April 20, 2022

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1



Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower)

0719401968


“Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!”

“Nanii?”

“Fungua!”

“Jitambulishe kwanza, wewe nani?”

“Nimesema fungua! Fungua kwa hiyari yako!”

“Huyo ni nani?”

“Shiii! Rudi ndani kalale!”

“What is going on? Please let me know!” (Nini kinaendelea? Tafadhali naomba nieleweshe).

“Ngo! Ngo! Ngo!”

Kufumba na kufumbua, kishindo kikubwa kilisikika, mlango ukaja kunibamiza kwa nguvu na kunirusha mpaka ukutani, nikajibamiza na kudondoka chini kama mzigo. Wanaume watatu waliokuwa wamevalia makoti meusi, walinifuata na kunikaba pale chini huku wakinimulika kwa tochi zenye mwanga mkali usoni.

Sunday, January 2, 2022

Simulizi NILIMUUA NIMPENDAYE (I Killed My Beloved One)- 16

Nilimuua Nimpendaye ni Riwaya ya kusisimua iliyotungwa na mtunzi mahiri, Azizi Hashim @hashpower na kusimuliwa kwako na Nezia Moris. Ndani ya simulizi hii, utakutana na visa vya kusisimua kuhusu mapenzi, ambapo msichana mdogo, Eunice anajikuta akiangukia kwenye penzi la mtu hatari, ambaye ndiye aliyehusika na kifo cha baba yake mzazi. Sikiliza simulizi hii kuanzia mwanzo mpaka mwisho, usisahau kusubscribe, kudownload na kushare! Copyright@Aziz Hashim 2021


Monday, October 25, 2021

Simulizi NILIMUUA NIMPENDAYE (I Killed My Beloved One)- 04


Nilimuua Nimpendaye ni Riwaya ya kusisimua iliyotungwa na mtunzi mahiri, Azizi Hashim @hashpower na kusimuliwa kwako na Nezia Moris.

Ndani ya simulizi hii, utakutana na visa vya kusisimua kuhusu mapenzi, ambapo msichana mdogo, Eunice anajikuta akiangukia kwenye penzi la mtu hatari, ambaye ndiye aliyehusika na kifo cha baba yake mzazi.

Sikiliza simulizi hii kuanzia mwanzo mpaka mwisho, usisahau kusubscribe, kudownload na kushare!

Copyright@Aziz Hashim 2021

THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 1

Mtunzi: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 “Ngo! Ngo! Ngo! Fungua!” “Nanii?” “Fungua!” “Jitambulishe kwanza, wewe nani?” “Nimese...